Kwa Mara ya kwanza nimepata demu anaekuja Kwa nauli yake

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,841
Huyu ni wa kuowa kabisa,

Katoka Kigamboni mpaka Kinyerezi ninapoishi Kwa nauli yake. Amenipa mchezo kaondoka kwenda home kwa nauli yake.

Sio rahisi kwa miaka ya sasa kwa hawa Dada zetu wa tafuta hela huwezi kuwapata ila mimi nimepata. Unashika popote hakutoi mkono kila unachomuelekeza anafanya kwa furaha kabisa.
 
Huyu niwakuowa kabisa, Katoka kigamboni mpaka kinyerezi ninapoishi Kwa nauli yake. Amenipa mchezo kaondoka kwenda home Kwa nauli yak...
Kama alijua wewe ni mwalimu ameamua tu anyamaze hadi tarehe ya mshahara akupige bomu refu.

Wanawake wajanja mwanzo wa wa mahusiano huwa wanakataa nauli na pesa.

Anasubiri uingie mzima mzima apige bomu moja...ajilipe nauli zote na ajilipe posho zote za awali na marupurupu juu na hutachomoa😂😂
 
Back
Top Bottom