Nimepata kazi CLOUDS!

Nimepata kazi CLOUDS!

Am happy for you Zinduna hongera best ila huko best kuwa makini hawakawii kukubonyeza kizenji
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana

Zinduna nitakuwa mtalii kwenye hiyo kampuni yenu na napenda wewe uwe karibu yangu!

Baada ya kusotea ajira kwa takriban mwaka mzima, hatimaye jana nimeitwa na kusaini mkataba na kampuni hii iliyojikita hapa nchini kwa miaka kadhaa sasa. Kuanzia sasa nitakuwa ni mmoja wa waajiriwa wa kampuni hii inayojishughulisha na masuala ya utalii. Nitakuwa ni meneja wa ushauri na masoko kwa upande wa utalii katika kampuni hii ya Clouds Travel Agent yenye makao yake makuu visiwani ZNZ.....


Duh, sasa nitaanza kupokea mshahara.

Haya kina gfsonwin, cacico, amu, Asprin, Zion Daughter, Madame B, Ciello, charminglady, Arushaone, Mungi, Young Master, Preta, lara 1, BADILI TABIA, Kiranga, Bujibuji, Kaunga, Mamndenyi, King'asti, Erickb52, Ruttashobolwa, Fidel80, Bishanga, watu8, SnowBall, Mwita Maranya, figganigga, Preta, snowhite, @C6, marejesho, Lisa, nivea, Baba V, MadameX na wana chit chat wengine nawaomba msherehekee pamoja nami kwa kupata ajira!
 
Last edited by a moderator:
Am happy for you Zinduna hongera best ila huko best kuwa makini hawakawii kukubonyeza kizenji

Hahahah, Zinduna ni kungwi la Kizenj mbona na ndio makazi yake huko...hiyo Mzizima kaiweka kutuhadaa tu.
 
Last edited by a moderator:
Kaka SnowBall ntakueleza yale mambo maana naona the issue is became serious aisee hizi familia nyingine ukikosea kila mmja anaataka akuadhibu du mpaka namwonea huruma yule kijana.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusotea ajira kwa takriban mwaka mzima, hatimaye jana nimeitwa na kusaini mkataba na kampuni hii iliyojikita hapa nchini kwa miaka kadhaa sasa. Kuanzia sasa nitakuwa ni mmoja wa waajiriwa wa kampuni hii inayojishughulisha na masuala ya utalii. Nitakuwa ni meneja wa ushauri na masoko kwa upande wa utalii katika kampuni hii ya Clouds Travel Agent yenye makao yake makuu visiwani ZNZ.....


Duh, sasa nitaanza kupokea mshahara.

Haya kina gfsonwin, cacico, amu, Asprin, Zion Daughter, Madame B, Ciello, charminglady, Arushaone, Mungi, Young Master, Preta, lara 1, BADILI TABIA, Kiranga, Bujibuji, Kaunga, Mamndenyi, King'asti, Erickb52, Ruttashobolwa, Fidel80, Bishanga, watu8, SnowBall, Mwita Maranya, figganigga, Preta, snowhite, @C6, marejesho, Lisa, nivea, Baba V, MadameX na wana chit chat wengine nawaomba msherehekee pamoja nami kwa kupata ajira!

Mshahara wa kwanza uulete tuubikiri wana chit chat umesikia Zinduna?
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana dada yangu Zinduna. Mungu aendelee kukubariki hadi ushangae. mia
 
Last edited by a moderator:
Usijali mpendwa...'the problem shared is the problem half-solved'....

Kaka SnowBall ntakueleza yale mambo maana naona the issue is became serious aisee hizi familia nyingine ukikosea kila mmja anaataka akuadhibu du mpaka namwonea huruma yule kijana.
 
dah nilijua clouds FM kumbe ni travelling agent khaaa kudos my young sista..
 
Dada Zinduna.....

227098,xcitefun-193890-xcitefun-congratulation1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Am happy for you Zinduna hongera best ila huko best kuwa makini hawakawii kukubonyeza kizenji

mboni ni kwao watambonyezaje akati yupo kwao kama kubonyezwa washambonyee kitambo tu..
 
Last edited by a moderator:
Yani ww...nkajua uku kwa kibonde..

Hongera Zinduna....mi nataka tu mashokishoki nkija..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom