Nimepata kazi CLOUDS!

Nimepata kazi CLOUDS!

Hongera Zinduna, sasa utanifanya nikuje zenji hahaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Krismasi imekujia vizuri Zinduna! Hongera sana! Sisi wanaArusha tuko pamoja nawe kukutakia mafanikio yenye tija kazini. Big up!! NOTE: Niko na Erickb52 fkwenye msafara twaenda KIA kumpokea mbunge wetu Godbless Lema!
Lema ameshafika? ???nipo manyara mkuu
 
Last edited by a moderator:
Pale hata kama wananipa ngapi siendi, waweza nawe ukawa shog*..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hongewra sana mpendwa Zinduna kwa kupata kazi. Nakutakia kila heri katika kazi yako hiyo mpya. Ufanye kazi kwa bidii na kujipatia riziki yako iliyo halali na sio kuja kuwa fisadi na mla rushwa.
 
Last edited by a moderator:
Zinduna, nikija visiwani naweza kukutafuta....
Hongera best maana mtaani huwa kunanuna pasipo kazi...
Kampuni yenu ipo wapi, hapo Mji Mkongwe...????

Mh nawewe kwa kuvizia lol
 
Last edited by a moderator:
Nakupa Hongera sana kwa kudaka kibarua ila angalia talk show yetu isije dorora.
 
Hongera sana Zinduna ! Next month ntakuwa hapo kisiwani kwa siku kadhaa,ni matumaini yangu kwamba tutaonana!!
 
Last edited by a moderator:
Am amng those young broz in chit chat kwnye jamii bhaxi mwanajami akipata ajira ananipa mzuka wa kukaza kixuly ili niwe jembe baadae ciunajua tena.
 
Baada ya kusotea ajira kwa takriban mwaka mzima, hatimaye jana nimeitwa na kusaini mkataba na kampuni hii iliyojikita hapa nchini kwa miaka kadhaa sasa. Kuanzia sasa nitakuwa ni mmoja wa waajiriwa wa kampuni hii inayojishughulisha na masuala ya utalii. Nitakuwa ni meneja wa ushauri na masoko kwa upande wa utalii katika kampuni hii ya Clouds Travel Agent yenye makao yake makuu visiwani ZNZ.....


Duh, sasa nitaanza kupokea mshahara.

Haya kina gfsonwin, cacico, amu, Asprin, Zion Daughter, Madame B, Ciello, charminglady, Arushaone, Mungi, Young Master, Preta, lara 1, BADILI TABIA, Kiranga, Bujibuji, Kaunga, Mamndenyi, King'asti, Erickb52, Ruttashobolwa, Fidel80, Bishanga, watu8, SnowBall, Mwita Maranya, figganigga, Preta, snowhite, @C6, marejesho, Lisa, nivea, Baba V, MadameX na wana chit chat wengine nawaomba msherehekee pamoja nami kwa kupata ajira!

Nikajua umepata kazi Redio ya Wafu..

Hongera kwa kibarua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom