Nimepata chumba Masaki

Nimepata chumba Masaki

Nyumba tunaziacha huko shamba dili ni kuhamia mjini katikati hata kupanga room moja,
 
Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kula umeme mwingi katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali, nikapiga simu kwanza bei niliyotajiwa si ya kitoto.

Kwenda kuona chumba ni kwenye apartments mdada alichukua ya vyumba viwili lakini kwakuwa hali ni mbaya na yeye anataka bado kuitwa mtoto wa masaki basi anapangisha chumba kimoja tusaidiane kodi.

Hivyo si wote waishio Masaki wanaishi kwenye mahekalu. Kuna siye tuliopangisha vyumba Masaki
Sijui kwanini mwanzoni nilisoma "nimepata mchumba Masaki".
 
Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kula umeme mwingi katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali, nikapiga simu kwanza bei niliyotajiwa si ya kitoto.

Kwenda kuona chumba ni kwenye apartments mdada alichukua ya vyumba viwili lakini kwakuwa hali ni mbaya na yeye anataka bado kuitwa mtoto wa masaki basi anapangisha chumba kimoja tusaidiane kodi.

Hivyo si wote waishio Masaki wanaishi kwenye mahekalu. Kuna siye tuliopangisha vyumba Masaki
Masaki ya kisarawe au hii ya kilaza bashite
 
raha ni changanyikeni na uswahilini ndo mahali pake, rudi tu huku huko waachie watasha wa mboga saba na geti kali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom