Nimepata chumba Masaki

Nimepata chumba Masaki

Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kula umeme mwingi.
Katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali, nikapiga simu kwanza bei niliyotajiwa si ya kitoto. Kwenda kuona chumba ni kwenye apartments mdada alichukua ya vyumba viwili lakini kwakuwa hali ni mbaya na yeye anataka bado kuitwa mtoto wa Masaki basi anapangisha chumba kimoja tusaidiane kodi.

Hivyo si wote waishio Masaki wanaishi kwenye mahekalu. Kuna siye tuliopangisha vyumba Masaki
Mtaa gani mkuu .tunawezakuwa majirani.
 
Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kula umeme mwingi katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali, nikapiga simu kwanza bei niliyotajiwa si ya kitoto.

Kwenda kuona chumba ni kwenye apartments mdada alichukua ya vyumba viwili lakini kwakuwa hali ni mbaya na yeye anataka bado kuitwa mtoto wa masaki basi anapangisha chumba kimoja tusaidiane kodi.

Hivyo si wote waishio Masaki wanaishi kwenye mahekalu. Kuna siye tuliopangisha vyumba Masaki
Kuna watu watakuja kuuliza street address...ukitoa nami nitakuja kuomba! Mind u anuani!
 
Points.
1. Unamiliki samsung(curved),
2. Unamiliki iPhone,
3. Umehamia/unaishi masaki.


Ni sehemu ya utani tu mkuu usikasirike😉😉
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom