Nimepata chumba Masaki

Nimepata chumba Masaki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kula umeme mwingi katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali, nikapiga simu kwanza bei niliyotajiwa si ya kitoto.

Kwenda kuona chumba ni kwenye apartments mdada alichukua ya vyumba viwili lakini kwakuwa hali ni mbaya na yeye anataka bado kuitwa mtoto wa masaki basi anapangisha chumba kimoja tusaidiane kodi.

Hivyo si wote waishio Masaki wanaishi kwenye mahekalu. Kuna siye tuliopangisha vyumba Masaki
 
Wiki iliyopita ilibidi nitafute chumba baada ya mwenye nyumba kuniongezea kodi kisa ninamiliki Samsung curved na iPhone eti zina kila umeme mwingi.
Katika kutafuta chumba nimeona bandiko mahali, nikapiga simu kwanza bei niliyotajiwa si ya kitoto. Kwenda kuona chumba ni kwenye apartments mdada alichukua ya vyumba viwili lakini kwakuwa hali ni mbaya na yeye anataka bado kuitwa mtoto wa Masaki basi anapangisha chumba kimoja tusaidiane kodi.

Hivyo si wote waishio Masaki wanaishi kwenye mahekalu. Kuna siye tuliopangisha vyumba Masaki
Honey....
 
Masaki ni pazuri kuzurura na gari na kula couple of beer ,lakini kupanga sio mchezo
 
Huku hata si fit in mkuu ninajiona kanisa nitarudi kwetu Kwamtogole. Kwanza ilibidi nihame usiku maana miko na magodoro kwenye mkokoteni
halafu huko utakosa hata kuona mambo ya mitaani, harusi, ngoma, watu wakisasambua, na raha zingine nyiiingiii za mtaani! rudi bwana Tandale hahahahahaha
 
halafu huko utakosa hata kuona mambo ya mitaani, harusi, ngoma, watu wakisasambua, na raha zingine nyiiingiii za mtaani! rudi bwana Tandale hahahahahaha
Kusasambua na ngoma ya kusuta mtu. Bwana Kwamtogole raha pilau kabisa kinapikwa kisa kisu to na mtaa unafungwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom