Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Mume umepata sawa ila mimi naomba niwe mchepuko wako jamani!
Chonde chonde naomba usinifinye kama ulivyomfinya miss chagga katika : https://www.jamiiforums.com/threads/wenye-tabia-hizi-waache-mara-moja.1180694/

...ni bayana ya mambo yasiyoonekana...nataka hapo kwenye neno "bayana"....Imani ni kua na hakika na mambo yatarajiwayo...... So wewe tarajia utaamini sio lazima picha![]()
Kweli sio wote wanaojiita majina ya ke ni keSio wote
Duhhh we mbarcelona mwenzangu vipiiiHongera mkuu hope ni single mama umemnusuru![]()