Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Nimepata ajali, niombeeni wana JF

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,880
Habari JF,

Leo mida ya saa kumi na Moja Kamili, nikiwa na Bajaj yangu kazini, natoka Mji Mwema kwenda ferry Kigamboni.

Nikiwa katika low speed ukizingatia hali ya hewa nikiwa upande wangu, ghafla niliona Altezza White imeovertake Iko mbele yangu.

Aisee, nilijitahidi kukwepa lakini alikuwa speed sana, baadaye kakimbia sijui hata rangi ya gari, Nina maumivu kichwani na mguuni.

Bajaj yangu Ina Bima kubwa
Askari wamepima na kuchora
Taratibu zingine zipoje nirudi kazini

PXL_20230320_032356049.jpg
PXL_20230320_033924066.jpg
PXL_20230320_031643004.jpg
 

Attachments

  • PXL_20230320_032356049.jpg
    PXL_20230320_032356049.jpg
    104.1 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom