Nimepanga kuacha kazi kisha kwenda kujiendeleza kimasomo

Hello mimi ni kijana mtanzania nina mwaka kwenye ajira ya serikalini but miaka 3 before nilifanya kazi private sector natamani nijiendeleze ila kutokana na mkwamo wa ajira za serikali itanibidi nisubiri mpaka 2024 ,, ndo nipate nafasi

Mwaka 2024 nitakuwa na miaka 32 , kozi nnayopenda kusoma ni 6yrs kumaliza itakuwa ni 2031

Kipi bora niache kazi nikasome mapema ila nikirudi ,na ganga private ,au nikomae
Nenda shule

Jr
 
Nani kakuajiri wakati mnashinda mnasema serikali ya awamu hii haijaajiri toka iingie madarakani?
 
Hello mimi ni kijana mtanzania nina mwaka kwenye ajira ya serikalini but miaka 3 before nilifanya kazi private sector natamani nijiendeleze ila kutokana na mkwamo wa ajira za serikali itanibidi nisubiri mpaka 2024 ,, ndo nipate nafasi

Mwaka 2024 nitakuwa na miaka 32 , kozi nnayopenda kusoma ni 6yrs kumaliza itakuwa ni 2031

Kipi bora niache kazi nikasome mapema ila nikirudi ,na ganga private ,au nikomae

Kijana wangu kazi ya serikali ukiiacha bila ruhusa, mfumo wao utakuweka kwenye kundi la watoro na labda kwa idhini ya katibu mkuu ikulu hutapata kazi yeyote ya umma tena. Gharama za hiyo program je umesha zipiga (ada, mazagazaga madogo, pa kuishi na mlo) na kujipanga? Mkeo yupo tayari kulisha familia na kukuangalia wewe? Hivi ni kweli mtu lazima akae miaka 4-5 kazini kabla ya kwenda kusoma?. Mimi sijui hali ya mfuko wako lakini kwa wengi wetu ningekushauri uvumilie hiyo miaka ?4?, kwani ukienda kusoma utakuwa na mshahara wako na nafasi ya kazi ipo. Hata hivyo maamuzi ya mwisho ni yako na mkeo. All the best.
 
Subiri muda uombe ruhusa ukasome huku una mshahara utakuja kunishukuru baadae. Kuacha sasa ukaenda itakuwa ni kamali
 
Kama kwenda shule kuta disrupt cashflow yako pakubwa na huna any other income generating activity, piga kazi kwanza huku ukijipanga. Elimu ya ziada utakuja kufanya tu. Not that urgent!
 
Jua kuwa mkeo kuwa mtumishi haikupi guarantee ya wewe kuwa joblesss...eti ukasome kisa mkeo ana kazi hakuna rangi utaacha kuona
😂😂mkuu kwann unasema hivyo?.mbona wanaume tunakaa nanyi mkiwa jobless?.
 
Hello mimi ni kijana mtanzania nina mwaka kwenye ajira ya serikalini but miaka 3 before nilifanya kazi private sector natamani nijiendeleze ila kutokana na mkwamo wa ajira za serikali itanibidi nisubiri mpaka 2024 ,, ndo nipate nafasi

Mwaka 2024 nitakuwa na miaka 32 , kozi nnayopenda kusoma ni 6yrs kumaliza itakuwa ni 2031

Kipi bora niache kazi nikasome mapema ila nikirudi ,na ganga private ,au nikomae
Soma open university au ongea na bosi wako vizuri..
Wapo waliofanya kazi mwaka mmoja tu wakapewa ruhusa ya masomo.

Kuna MTU aliajiriwa May/2014 na Oct/2015 akaenda masomoni. Na alisoma bachelor + masters.. Hivyo alipata likizo ya miaka 5..!!!

#YNWA
 
Mkuu fanya kazi pata mtaji wekeza, vinginevyo unatafuta njia ya kuachana na huyo mke.
Saiv watu wanasoma kwa sponsorship kusogeza miaka angalau mzee baba atoke madarakani maana washachakaa na bahasha zao mtaani.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
kama unafanya kazi ya medical moja ya sababu inayokufanya kuwaza kurudi shule ni kutambiana eneo la kazi, ma Md wanajiona sasa 😂😂😂
wewe una familia, piga kazi baba achana na habari zakusoma hakuna maana yakuacha kazi uende kusoma alafu urudi kutafuta kazi tena, watu wapo kitaa wanasaka kazi na usomi wao
piga kazi, ongeza kipato kwa kufikiria ata biashara baba lakin sio kwa njia yakuongeza elimu..
 
Hello mimi ni kijana mtanzania nina mwaka kwenye ajira ya serikalini but miaka 3 before nilifanya kazi private sector natamani nijiendeleze ila kutokana na mkwamo wa ajira za serikali itanibidi nisubiri mpaka 2024 ,, ndo nipate nafasi

Mwaka 2024 nitakuwa na miaka 32 , kozi nnayopenda kusoma ni 6yrs kumaliza itakuwa ni 2031

Kipi bora niache kazi nikasome mapema ila nikirudi ,na ganga private ,au nikomae
Sikilizia kwanza hii kisha fanya maamuzi sahihi.
 
Hello mimi ni kijana mtanzania nina mwaka kwenye ajira ya serikalini but miaka 3 before nilifanya kazi private sector natamani nijiendeleze ila kutokana na mkwamo wa ajira za serikali itanibidi nisubiri mpaka 2024 ,, ndo nipate nafasi

Mwaka 2024 nitakuwa na miaka 32 , kozi nnayopenda kusoma ni 6yrs kumaliza itakuwa ni 2031

Kipi bora niache kazi nikasome mapema ila nikirudi ,na ganga private ,au nikomae
Wewe ni clinical officer ?na umeoa ?nijibu haya then ntakushauri vizuri mdogo wangu
 
Back
Top Bottom