Kuishi Dar es Salaam kwa wafanyakazi ni rahisi kujiendeleza kimasomo kuliko wale waliopo mikoani

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,739
Vyuo vyote vikubwa na connection za masomo zipo mjini dar ukilinganisha mikoani. Watu wengi kundi la wafanyakazi serikalini na binafsi ni rahisi kujiendeleza kimasomo sababu wapo karibu na vyuo.

Wafanyakazi waliopo mikoani wanachangamoto kubwa kujiendeleza
 
Hivi mkoani ni Temeke sehemu gani?
 
Vyuo vyote vikubwa na connection za masomo zipo mjini dar ukilinganisha mikoani. Watu wengi kundi la wafanyakazi serikalini na binafsi ni rahisi kujiendeleza kimasomo sababu wapo karibu na vyuo.

Wafanyakazi waliopo mikoani wanachangamoto kubwa kujiendeleza
Nikweli mkuu... mimi nimepata tabu sana kujiendeleza
 
Back
Top Bottom