Nimepakaziwa mimba, nifanyeje?

Nimepakaziwa mimba, nifanyeje?

Mwanangu ndandawamalenja usiponzwe na hiyo ndude. Kwanza lile zee limeishaichafua. Heri ungeona ninavyooona wala usingefikiria hiyo ndude. Nyama zote ni nyama kinachozipa tofauti na mawazo yetu tu. Nadhani nimemaliza kila kitu. Na sitaendelea tena.
 
Mkuu, fanya DNA

It is a simple case.

Kama matokeo yataonyesha kuwa mtoto ni wako, mlee mwana na mtunze mama yake.

Kama mtoto si wako, si wako hata iweje. Jiweke pembeni kuepusha msongamano. Kama utaamua tenda wema tu kama binadamu wengine. Ila angalia yasije mapya yakakufika.
 
Hebu kuwa mwanaume bhana acha kuongozwa na fikra, ongozwa na maamuzi. Huyo mwanamama kama angekua anakupenda angalikua ashakuambia kitambo. Amekufanya uendelee kushika pembe kitamboo mwanawani.
Jiulize swali hili, je bado unampenda huyo binti na kuishi naye kwa hali yoyote, kama jibu ni ndio basi endelea kuishi naye acha kulalama...

Huyu niliyenae sina mpango wa kumuacha kamwe.
 
Nashindwa kuelewa kama kweli una nia ya dhati ya kushauriwa..eti ile K sijaona mfano..My foot!...wewe funguka akili ..kusoma hujui hata picha huoni??
Msg yako inachoma mzee, yaani umenipa makavu live. Hata hivyo huo ni ushauri wa maana. Inawezekana demu na mzee wake huwa wananichora kweli na picha wanayocheza inawafurahisha sana. Ngoja nitimue zangu. Lakini ile K (mashine) babake ni bab kubwa, bado cjaona mfano wake.
 
Wewe vumilia mbaba ni upepo tu huo utapita
 
Msg yako inachoma mzee, yaani umenipa makavu live. Hata hivyo huo ni ushauri wa maana. Inawezekana demu na mzee wake huwa wananichora kweli na picha wanayocheza inawafurahisha sana. Ngoja nitimue zangu. Lakini ile K (mashine) babake ni bab kubwa, bado cjaona mfano wake.
Hata ya mkeo haifui dafu?Kazi ipo hivi mkeo akiwa hazai ni lazima uzae nje?
 
Muoe awe mke wako wa pili ili huyo mzee akome kumfuata
 
Unajua haya mambo ya kumiksi madesa tena bila condom huwa naona kama ni mzaha. Kumbe yapo!

Baba usijali, mtoto ili awe wako sio lazma uchangie mbegu. Lea tu. Kwanza scientific evidence zinaonyesha unapoendelea unachangia maskio na viungo vingine.
 
Mwanangu ndandawamalenja jibu unalo sema hutaki kulikubali. Huyo mama keshakugeuza **** wa mafala. Anajua udhaifu wako hivyo si vibaya akiendelea kukutumia. Leo kakupakazia mtoto kesho usishangae akakuletea ngoma. Unangoja nini wakati kila kitu kiko wazi? Eti unasema bila aibu kuwa unakapenda kale katoto. Kako? Si utafute mama wa heshima uzae wako badala ya kuwalelea wengine? Lile zee linajua kuna mpumbavuuu mmoja anayelililea mtoto wake na kulitunzia hawara yake. Sasa Mungu alipe nini iwapo kuna majinuniii anayechunwa na akawa tayari kufanyia hivyo. Think more not just twice mwanangu.

Baba wa Wote aka Father of All, mimi binafsi huwa sipendi kuishi kwa wasiwasi. Umemshauri vizuri huyu kijana. Kama anapenda watoto, ukoo wake mzima hawapo???????? Na maanisha wa dada zake, kaka zake, wajomba n.k. Huyu anaonekana zuzu tu, na mtu asiyekuwa na maamuzi. Aangalie tu asije kukanyonga na kumchoma pasi mkewe kama jamaa mmoja niliyemsoma kwa magazeti juzi. Kaa mbali na mtu anayekuleta machungu hasa ya mapenzi. Tafuta aliyetulia mkubwa, muda bado unaruhusu.
 
Nashindwa kuelewa kama kweli una nia ya dhati ya kushauriwa..eti ile K sijaona mfano..My foot!...wewe funguka akili ..kusoma hujui hata picha huoni??

Sa si lazima nikuonyeshe mitego yote ili unipe ushauri mzuri mkuu?
 
12 yrs in marriage lakini wife hana uwezo wa kuzaa. How sure are you kwamba wife hana uwezo wa kuzaa? Pengine wewe ndo huna huo uwezo but anyway pokea huyo mtoto na umlee kwa moyo mmoja kabisa. ..... Advice! Kama ni kweli unao uwezo wa kupanda mbegu na ikaota then pata mtoto mwingine na huyo dada ila mwambie mkeo wa ndoa the whole story.

hmm vipi tena jamani
 
kaka pole kwa majaribu,
kama una uwezo wa kwenda kupima DNA kapime kama wako uendelee mlea tu bt muhamishe huyo mzaz mwenzio na umuweke under probation , chini ya uangalizi mkali, kingine kama kamekua kua kidogo kachukue ubaki na mkeo akimlea mtoto bt it depend na reaction yako baada ya kumwambia ukweli coz kama shida ni mtoto na ushapata cdhani kama mama mtoto anahusika tena ,
ila kama c wako mtoto, na umejiridhisha kajirekebisha muadapt mtoto legally asitokee wa kukuzingua umlee tu huku ukiazaa mwingine na huyo feki bt mek sure ametulia now
 
Ok, thanx.
 
siwezi samehe mambo ya kudanganya mimba ya fulani wakati ya fulani, period.

Angekuwa wazi tangu mwanzo naweza fikiria.
 
Weee ni FUNGU LA KUKOSA TUUUUU!!!!!!!! Sasa huyo bi dada sawa kachanganya madawa, ila BABA WAMTOTO ANAENDAGA HAPO ULIPOMPANGISHIA!!!!!!!!!! Si uhuni huo!!!! Kukosea kaona haitoshi, kaamua kumwambia na mkosefu mwenzie kuwa yule nae ni mwanwe? Mi namashaka na huyo dada! KAMA ANGEKAA KIMYA NA KUKOMAA MTOTO NI WAKO NANI ANGEJUA KUWA SI WAKO??????? DO WHAT YOU GOTTA DO MAN!!!!!! THAT IS LEAVE HER!!!!!! PERIOD!!!!!
 
Unamusikiliza MWANAMUKE mujukuu wanguu. KWELI WEWE KICHWA CHAKO NI DUDU KABISA. Maneno haya aliniambia babu yangu. Mwanamke mpende mkuu but siku akikuzingua haina haja ya kumuuliza, yan hapo*2 mtimue. Mwanamke akiwa anagongwagongwa hovyo kama huyo kupata uponyaji ni vigumu sana.
 
Back
Top Bottom