Nimepakaziwa mimba, nifanyeje?

Nimepakaziwa mimba, nifanyeje?

Duh!! Pole sana mkuu!! Najua ni jinsi gani ulivo njia panda, hakika huu huwa ni mtihani mgumu sana!!(acha watu wabeze hapa hayajawafika).

Fanya hivi: fikiria ingemtokea rafikio ungemshauri nini (jibu utakalopata lifanyie kazi)

Fikiria yangemkuta rafikio ungembeza kiasi gani(ndivo ilivo kwako sasa) je, uko tiyari kuendelea kudhraulika?

Mkuu kaza roho!! Ni ngumu kuamua ila amua mkatae shetani!! Piga tipa sahau, ushahidi ulionao unatosha kuamua!! Hakika unajipendekeza maana angekuwa na mapenzi ya dhati kwako asingeendelea kumleta huyo Mzee tena ulipompangishia!! Adabu hana piga chini!!

K, kitu gani bwana!? Zote zikishazaa zinakuwaga hivo hasa zile zilizo zaa mmoja au wawili!!

Muulize Kongosho
 
presha ya nini kijana tulizana kubali ulizidiwa akili na ujawa mjinga kwa miaka miwili. sasa ni muda wa ysye kuwa mjinga. kwanza endelea kummega na baadae muombe tigo ule raha nayo na potezea baadae hafai huyo
 
umeoa, afu unasema "demu wangu akanifuata", we ni mzinzi.

"Mtoto amefanana sana na huyo mzee" bado tu umeng'ang'ania........

"Hapo anapoishi huyo mzazi mwenzangu huwa naenda mara mojamoja" haujarudi dar tu kwa mkeo?

"baba ake wa kweli huwa anaenda pale na anafanana sana na mtoto"
bado tu umeng'ang'ania........

"Kama siamini niende siku hiyo mchana nitamkuta sehemu fulani ambako wataenda na huyo mama mtoto"
kakudanganya na bado wanaendelea kukufanya kitega uchumi. hushituki tu........

"Sikwenda kwa sababu ya maumivu "
wewe ni muoga na huwezi kumsamehe kwani huna huo moyo

"nina hasira sana na demu kwa kunidanganya kwa miaka miwili mizima"
hutaki kukubali kuwa mambo yameharibika.

WEWE UNA MKE, ACHANA NAYE HUYO HAWARA, KAMA MKEO HAZAI, SALI SANA,MUNGU ATAKUJIBU, KUMBUKA ALIKUPA HUYO NDOMAANA UKAMUOA............ MBONA SARA ALIZAA UZEENI?
 
Msamehe for the sake of mtoto ambaye ni innocent. Nina imani hatarudia dunia ilishamfunza!
ni wazi hatorudia, huyu kijana kama kweli anampenda huyo bibi ilikuondoa hiyo hasira basi amuoe na azae nae mtoto wa pili... ,wote mke na mume watalea watoto wao wawili. babu akitaka mtoto waker baadae , apewe tu
 
Duh!! Pole sana mkuu!! Najua ni jinsi gani ulivo njia panda, hakika huu huwa ni mtihani mgumu sana!!(acha watu wabeze hapa hayajawafika).

Fanya hivi: fikiria ingemtokea rafikio ungemshauri nini (jibu utakalopata lifanyie kazi)

Fikiria yangemkuta rafikio ungembeza kiasi gani(ndivo ilivo kwako sasa) je, uko tiyari kuendelea kudhraulika?

Mkuu kaza roho!! Ni ngumu kuamua ila amua mkatae shetani!! Piga tipa sahau, ushahidi ulionao unatosha kuamua!! Hakika unajipendekeza maana angekuwa na mapenzi ya dhati kwako asingeendelea kumleta huyo Mzee tena ulipompangishia!! Adabu hana piga chini!!

K, kitu gani bwana!? Zote zikishazaa zinakuwaga hivo hasa zile zilizo zaa mmoja au wawili!!

Muulize Kongosho

Thanx mkuu.
 
mimi naona hakufai kabisa tena afadhali umejua mapema mana ungepoteza ujana wako wote na kuja kugundua uzeeni au miaka 40 ungekula hasara,jua kabisa wanaokueleza ukweli wa mtot huyo hapo mtaani siyo wambeya bali wanakuonea huruma unaweza ukapitisha ujana wako wote ukimtumainia mtoto ambaye si wako baadae unaweza ukagombana naye mwanamke akaja kukuambia siyo mwanao sasa sijui utafanyaje wakati huo una miaka kama 50 ushachelewa!!!kaa ukijua nguo ya kuazima haistiri ****** mtoto atarudi kwa baba yake tu taka usitake,ataenda umpa faida yeye hata kama hajamlea,atampa pesa za matunzo japokuwa ni wewe ndio uliyemsomesha na wewe utaambulia makombo tu huko uzeeni,
mtto ambaye hujamzaa atarudi tu kwa baba yake hata akiwa wapi atamtafuta,ushauri wangu ni kwamba kama unampenda endelea naye ila ujue athri zake za baadae,huwezi jua labda demu alijaribu kujikamatisha mimba kwako ikashindikana labda unamatatizo ya uzazi!!
 
ungekuwa karibu naamini ningekupa kofi,wanawake wa heshima wapo tele lakini bado unang'ang'ana na huyo ambaye ushahidi wa kimazingira umedadafua tayari.ila sio mbaya chakula ya fisi ni mizoga,mwache dada wa watu aendelee kupeta pamoja na hawara yake(mzazi halisi).yaani na bado unapata nguvu ya kuandika kuomba ushauri,inaniuma sana
 
umeoa, afu unasema "demu wangu akanifuata", we ni mzinzi.

"Mtoto amefanana sana na huyo mzee" bado tu umeng'ang'ania........

"Hapo anapoishi huyo mzazi mwenzangu huwa naenda mara mojamoja" haujarudi dar tu kwa mkeo?

"baba ake wa kweli huwa anaenda pale na anafanana sana na mtoto"
bado tu umeng'ang'ania........

"Kama siamini niende siku hiyo mchana nitamkuta sehemu fulani ambako wataenda na huyo mama mtoto"
kakudanganya na bado wanaendelea kukufanya kitega uchumi. hushituki tu........

"Sikwenda kwa sababu ya maumivu "
wewe ni muoga na huwezi kumsamehe kwani huna huo moyo

"nina hasira sana na demu kwa kunidanganya kwa miaka miwili mizima"
hutaki kukubali kuwa mambo yameharibika.

WEWE UNA MKE, ACHANA NAYE HUYO HAWARA, KAMA MKEO HAZAI, SALI SANA,MUNGU ATAKUJIBU, KUMBUKA ALIKUPA HUYO NDOMAANA UKAMUOA............ MBONA SARA ALIZAA UZEENI?

Kwanza una mke..pili wewe dini gani..je dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili..tatu baada ya kupima ingekuwa tatizo ni wewe na si mkeo je ungeweza kumruhusu mkeo akapigwe MITI nje ili akuzalie!! nne..omba sana kwani kuwa na imani ni muhimu utaishi kwa furaha sana kwani ukianza maisha ya kupiga miti nje utajiletea maisha yenye stress sana na balaa hata huyo mtoto utamwona mchungu TULIA KWENYE NDOA YAKO kwani mkeo hakupenda...mtaishi kwa furaha tu mpaka mwenyezi MUngu hatapowatenganisha PIA Usisahau dhumuni la wewe kuwa duniani. Kuna mambo mengi sana unaweza fanya na mkeo mkafurahia dunia hii mkiwa wawili...kila kitu kinasababu zake na mipango ya Mungu.
 
Mwanangu LincolinMtza umenena. Nadhani mhusika ataipata na kuelewa kama hataki kuishia lupango au kuitwa marehemu kabla ya wakati wake. Kula la heri.
 
Kwanza una mke..pili wewe dini gani..je dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili..tatu baada ya kupima ingekuwa tatizo ni wewe na si mkeo je ungeweza kumruhusu mkeo akapigwe MITI nje ili akuzalie!! nne..omba sana kwani kuwa na imani ni muhimu utaishi kwa furaha sana kwani ukianza maisha ya kupiga miti nje utajiletea maisha yenye stress sana na balaa hata huyo mtoto utamwona mchungu TULIA KWENYE NDOA YAKO kwani mkeo hakupenda...mtaishi kwa furaha tu mpaka mwenyezi MUngu hatapowatenganisha PIA Usisahau dhumuni la wewe kuwa duniani. Kuna mambo mengi sana unaweza fanya na mkeo mkafurahia dunia hii mkiwa wawili...kila kitu kinasababu zake na mipango ya Mungu.

Jamani mbona mnakuwa wakali hivo? Mtu akiomba ushauri manake yeye amefikiria mpaka mwisho wa upeo wake. Sasa watu mnaponda kama nini? Siwezi tukanwa namna hii, ngoja nikitafute hicho kidemu nikifungie kazi. Hakiwezi kunitukanisha namna hii. Tutaonana kwenye uwazi au kiu!!!
 
Tushaenda na wife kupima nani mwenye tatizo, hata mimi nilikuwa nadhani mimi ndio problem. Madaktari wakasema ni wife.

Mkuu bora uendelee kutafuta tiba tu mahospitalini vinginevyo utaendelea kulea watoto wa wengine. Nina aunty yangu aliolewa akakaa kwenye ndoa kwa miaka 16 bila kupata mtoto, yule jamaa yake akawa anatafuta watoto nje lakini aliishia kulelea watu watoto wao. Miaka 2 baada ya kuachana aunty alipata mtoto kwa jamaa mwingine ingawa alikuwa 45 yrs muda huo. Yule jamaa wake wa mwanzo hamna kitu.
 
Makavu niliyopewa humu leo unadhani hata watoto nataka tena! Ngoja nibaki hivihivi. Au nta-adopt tu.
 
Jamani mbona mnakuwa wakali hivo? Mtu akiomba ushauri manake yeye amefikiria mpaka mwisho wa upeo wake. Sasa watu mnaponda kama nini? Siwezi tukanwa namna hii, ngoja nikitafute hicho kidemu nikifungie kazi. Hakiwezi kunitukanisha namna hii. Tutaonana kwenye uwazi au kiu!!!
Ukali ni sehemu ya kutafuta solution, hata manabii wenyewe kuna sehemu walikuwa wakali ili watu wapate kuelewa nini wanachosema, sasa usitegemee kama unafanyanya madudu watu waone ni sahihi tuu na wakurekebishe kwa upole, so ukali wa watu ndo dhahiri utaonyesha uzito wa jambo na WEWE pia Utagundua kuwa unafayanya mistake vingenevyo utachukulia poa tuu kwa kuona watu wapole, so kubali ukali wa watu na zingatia ushauri, pambanua na fanya maamuzi sahihi.
 
ulivyontia hasira hapa..nkicoment zaidi ntapigwa ban
 
Ukali ni sehemu ya kutafuta solution, hata manabii wenyewe kuna sehemu walikuwa wakali ili watu wapate kuelewa nini wanachosema, sasa usitegemee kama unafanyanya madudu watu waone ni sahihi tuu na wakurekebishe kwa upole, so ukali wa watu ndo dhahiri utaonyesha uzito wa jambo na WEWE pia Utagundua kuwa unafayanya mistake vingenevyo utachukulia poa tuu kwa kuona watu wapole, so kubali ukali wa watu na zingatia ushauri, pambanua na fanya maamuzi sahihi.

Nisipoelewa mpaka hapo ntakuwa nna tope mahali ambapo ulitakiwa uwepo ubongo. Nimepata ushauri ambao bila huo ningefanya maamuzi ya kijinga sana.Thanx mkuu.
 
kitanda hakizai haramu wewe una hakika gani baba yako siyo fake kwako? we mwambie huyo demu asitishe uhusiano na huyo dingi alafu muhamishe hapo kakae nae mbali na hapo mzalishe mtoto mwingine maisha yaendelee yote hiyo ni kwa ajili umesema unampenda huyo mtoto hata mimi nimempenda huyo chalii kwa mujibu wa maelezo yako usimwangushe huyo mtoto bana
 
Back
Top Bottom