aiseeh,wife wako anajua kuwa umezaa nje?
Nadhani unachomaanisha ni kama wife wake anjua kuwa "wamemzalia nje"
Mwanangu ndandawamalenja jibu unalo sema hutaki kulikubali. Huyo mama keshakugeuza **** wa mafala. Anajua udhaifu wako hivyo si vibaya akiendelea kukutumia. Leo kakupakazia mtoto kesho usishangae akakuletea ngoma. Unangoja nini wakati kila kitu kiko wazi? Eti unasema bila aibu kuwa unakapenda kale katoto. Kako? Si utafute mama wa heshima uzae wako badala ya kuwalelea wengine? Lile zee linajua kuna mpumbavuuu mmoja anayelililea mtoto wake na kulitunzia hawara yake. Sasa Mungu alipe nini iwapo kuna majinuniii anayechunwa na akawa tayari kufanyia hivyo. Think more not just twice mwanangu.
Baba wa wote nikubali mtu mzima dawa, yu said well and correctly. sikio la kufaa halisikii dawa.
Msg yako inachoma mzee, yaani umenipa makavu live. Hata hivyo huo ni ushauri wa maana. Inawezekana demu na mzee wake huwa wananichora kweli na picha wanayocheza inawafurahisha sana. Ngoja nitimue zangu. Lakini ile K (mashine) babake ni bab kubwa, bado cjaona mfano wake.
It really seems shida yako kuu ni hiyo "k" unayosema, ila kumbuka kwamba it comes with an expence, 2 years of being lied at na wewe bado unamchekea na kumuonea huruma!!! Sioni msimamo wako, kama unataka kuendelea naye, that is opposite na mtazamo wangu, na kumbuka kwamba damu ni nzito kuliko maji, na mtoto ni lazima atauliza maswali ambayo kwako yatakuwa magumu kujibu.
hutaki kukubali kuwa mambo yameharibika.
WEWE UNA MKE, ACHANA NAYE HUYO HAWARA, KAMA MKEO HAZAI, SALI SANA,MUNGU ATAKUJIBU, KUMBUKA ALIKUPA HUYO NDOMAANA UKAMUOA............ MBONA SARA ALIZAA UZEENI?
AMEN mkuu, some people just know less about faith. FAITH kubwa, sio legelege faith.
Umenichanganya kabisa mkuu.
An honest answer, is like a kiss on the lips, the Bible says. Mkuu, ninahitimisha kwa kusema tulia na mkeo tu, mipango ya Mungu ni migumu kujua, kama ni adopting a kid, wako wengi ambao utawapenda tu, kwa maamuzi ya pamoja na mkeo, and not kwa huyo binti anayedanganya na kutishia kurudi kijijini, kwani atakufa akirudi huko? ukimchekea nyani utayavuna mabua. Over and out!