Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Mkuu hizo ni ndoto tu na hazina maana yoyote......just relax

Tatizo ni kwamba unaonekana upo so desperate kutakuja lazimisha kujua maana yake( BTW wanajimu wa mchongo watabunu tu maana yake)

Na kwakuwa wewe una AMINI haya mambo utaamini tafsiri uliyopewa kuwa ni kweli
Na shida ya Imani ndio hii...... ni kuamini tu
Ipo siku utatafsiri kwamba mama yako ni MCHAWI..... hapo ndio akili itakukaa sawa

Mara nyingi watu huwa wanaingia kwenye imani za kichawi kwa staili hizi hizi.... utajikuta unaishia kwenda kwa waganga kuweka sawa Tafsiri ulizotafsiriwa ili mambo yaende
Mmmmh aiseeee kwanini umewaza hvi mkuuu
 
Mwaka 2022 Niliota vita za ndege angani, nikafuatilia nikaambiwa ni ishara ya kufilisika. Mimi huwa siamin upuuzi nikapuzilia mbali. Kilichotokea baada ya miezi sita mbele sitakaa niamini. Ila Mungu mwema naanza kurudi ila ile peak nilipokuwa bado
😂😂😂😂😂😂Kudadek ulipata mfilisiko heavy mkuuu
 
We jamaa humu wanakuita genius ngoja nijaribu ushauri wako..
Japo mi ukiona sijaginga siku nyingi basi ni week
Week n nyingi kwa mwanaume, mm nimejiwekea utaratibu wa kulomba angalau mara moja kwa wiki.
Fuata ushauri wangu mana next time utachafua boksa
 
secretarybird mwenzio katokewa na mama supu wewe utatokewa na mama chukuchuku,

Hizo ndoto zina maana

Kwanin wewe na mama muamuke ?

Mmekuta nje Kuna ajali ?

Kwann mama apotee ubaki peke yako ?

Kwann uzungukwe na watu wamevaa pampas?

Mbona umepelekwa makaburini ?

Kwann jimama lenye nyama likukalie na kutaka umle Tena ni makaburini,

Mimi sio mtu wa dini,

Hapo Kuna namna nyota/nguvu /kibali chako kinapotezwa kupitia ukiwa umelala na watu, either mishangaz unayolala nayo ishakuchukulia nyota, ama Kuna jini mahaba linakutaka likuzuie usiwe na nguvu ndani yako,

Makaburini wanakaa wafu, kitu kisichoongea wala kufanya kazi,

Ina maana nguvu/nyota / kibali vikiekwa makaburini ni kwamba wanaziua kama ni pesa hupati, kazi, mke, connection n.k

Kwann uzungukwe na watu waliovaa nguo za kitoto,

Unarudishwa nyuma, au Kuna kitu unapaswa ujifunze ama una kipitia ujifunze utoke hapo uende mbele

Unapofanya sex makaburini, Ina maana utamwaga je huoni shahawa zako ndo zitakuwa kafara yenyewe ? Ili Ibada ya kukufunga itimie lazima watoe kafara,

Kafara yao ni sperm zako,

Kwaherii pua bureini mpka wakati mwingine
 
Faza una madude hvi..
Mbona ulikua kimya mpaka naangamia aiseeee kila siku naota vya ajabu kutwa kuwafata watu PM ili wanielekeze wakati ww upo mtaalam
 
Faza una madude hvi..
Mbona ulikua kimya mpaka naangamia aiseeee kila siku naota vya ajabu kutwa kuwafata watu PM ili wanielekeze wakati ww upo mtaalam
Achana na watu na masuala ya kula hakuna uhalisia wowote,

At least ndoto inaendana na unachokiwaza au kukiona ndo ulale,

Tofaut na hapo tunaoamini kwenye ulimwengu wa kiroho hivyo vitu hufanya kazi,

Japo wakati mwingine maruhani yanaweza kukuotesha ndoto ambazo hazina effect ambapo ni kuepeuka hayo ni kufanya Dua, wengine huchoma ubani n.k ili ukae sawa, usiote ndoto za ajabu ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom