Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Izo ndoto mbaya zimekutokea bcz hukusoma dua ya kulala as a muslim
Unachotakiwa kufanya ukiota ndoto mbaya tema mate upande wako wa kushoto mara 3 hlf mlaani sheitwani hlf soma dua ya kulala au kma utaweza kachukue udhu
Mwisho ukiona sehemu huielewi soma adhana ndugu hakika ya masheitwani wakisikia adhana hukimbia mbio nyingi sana
Ume nifungua macho
 
Natanguliza samahani..
Ila wewe unatumikishwa kichawi...

Kifupi ulishapewa uchawi na uchawi hupewa mtu akiwa mdogo...

Na kitengo chako ni Cha kulala na wanawake tofauti, ndo maana Mama Supu anakutaka...

Huyo aliyekutoa nje usilale ambaye ni mama yako ndio muhusuka...

Naogopa kusema ila mama yako ndio aliyekupa uchawi...

Hii ndoto inamaana, sio ndoto ya kawaida...

NB: Hakikisha unajitoa ktk agano la uchawi...
 
Haijalishi Hadi watu wazima wanapata ndoto nyevu!
Kivipi wakati ndoto nyevu ni ndoto zile zinawapata watu wanaodha kubarehe sasa hyo stage nishapita mkuu...

Tatizo la kupata hzo ndto ni nn kama kutiana natiana vzr tu
 
Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee

Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo

Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.

Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.

Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.

Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.

Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..

Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.

Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.

Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..

Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..

Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..

Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Hapa inabidi ndugu Mshana Jr atusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom