Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Msiwe mnapiga nyeto kisha mnaingia kulala mtakuja mfie usingizini..!!
😂😂😂😂😂 Kuna kaukweli ndani yake....
Nina wasi wasi na wewe ngoja nianze kukufatilia...

Na nikija gundua kitu jua nitakutafuta live live ni heri tukutane live tuzichape ty
 
Natanguliza samahani..
Ila wewe unatumikishwa kichawi...

Kifupi ulishapewa uchawi na uchawi hupewa mtu akiwa mdogo...

Na kitengo chako ni Cha kulala na wanawake tofauti, ndo maana Mama Supu anakutaka...

Huyo aliyekutoa nje usilale ambaye ni mama yako ndio muhusuka...

Naogopa kusema ila mama yako ndio aliyekupa uchawi...

Hii ndoto inamaana, sio ndoto ya kawaida...

NB: Hakikisha unajitoa ktk agano la uchawi...
Sio lazima awe amekabidhiwa uchawi, anaweza akawa ameshawai kuchanjwa akiwa mdogo
 
Natanguliza samahani..
Ila wewe unatumikishwa kichawi...

Kifupi ulishapewa uchawi na uchawi hupewa mtu akiwa mdogo...

Na kitengo chako ni Cha kulala na wanawake tofauti, ndo maana Mama Supu anakutaka...

Huyo aliyekutoa nje usilale ambaye ni mama yako ndio muhusuka...

Naogopa kusema ila mama yako ndio aliyekupa uchawi...

Hii ndoto inamaana, sio ndoto ya kawaida...

NB: Hakikisha unajitoa ktk agano la uchawi...
Donitila naomba nije PM yako kama hutojali mkuu
 
Ndoto yenye tafthiri na tukio la kweli! Jitahid kama mtaani kwako Kuna mambo ya sayansi ya asili hakikisha kabla ya kulala deki chumba chako kwa maji ya chumvi ya mawe baada ya hapo oga maji ya chumvi ya mawe kisha endelea na taratibu zako za kiimani swala la ibada! Ukifanya hivyo asubuh ukionana na mbaya wako lazima atamaindi Sana!
 
mkuu naona wewe na donitilia mnaongea as if Mimi sipo..
😂😂😂😂😂😂 Mi nafanya maombi kila leo ujue
Kuomba sio shida, ila ndoto imekuja kukupa taarifa mahali panapo itaji kuwekewa mkazo kwenye maombi ili usiwe unaomba bure bali kwa shabaha.
 
Nasali sana mkuu hata nilivostuka nimesali sana sana sana aiseee
Unasalije?
Hapa napo ni muhimu, kila sala Ina muda wake, mfano; wakati wa kula utasali Sala ya chakula...

Ila sasa unatakiwa uombe kwa kumaanisha Rohoni...

Omba Toba na Rehema kwa kusoma Kila siku Zaburi 51

Unaomba hivi...
Ee Mungu unirehemu mimi na uovu ambao umetendwa ndani ya ukoo wa mama yangu, unioshe kwa damu ya YESU unitenge na agano la uchawi lililopo kwa mama yangu na maagano mengine yote niliyounganishwa nayo...

NB: Uovu unapatilizwa mpaka kizazi na kizazi...Biblia inasema, hivyo watu wengi huteswa na mabaya yaliyofanywa na familia zao
 
Simple tu ikohiv utaretewa mtoto wa nje sihutaki kujituma subiri uone.bongo hakuna family plan
 
Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee

Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo

Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.

Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.

Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.

Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.

Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..

Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.

Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.

Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..

Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..

Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..

Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Niwie radhi sana mkuu wangu ndio naiona mada sasa.. Kuhusu pm nasema kweli ya Mungu haijanifikia..nitumie tena kama hutajali🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom