Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,529
- 2,957
Fua mashuka ndg yangu hutokuja kuviota hvy tena
Mkuu tuwe seriously kidogo bana...Sio mtaani tu hadi usingizini unaichapa mishangazi, we chalii noma sana.
Hapana mi Nisha barekhe kitambo mkuuNdoto nyevu!!
Mambo ya ushirikinaWTF is this, Ndugu Mshana kumbe ana huduma ya kuzuia watu kukata moto kwa sababu ya ndoto za kipuuzi puuzi. ??!!
Mkuu fafanua kidogoHapo kuna mkono wa mtu jirani yenu anawaonea wivu
Mkuu mi ni msafi zaidi ya unavyofikiliaFua mashuka ndg yangu hutokuja kuviota hvy tena
Niwe nyama tena..Unataka kuwa initiated mwenye uchawi,ama kurogwa mpuuzi wewe ,nenda kwenye maombi utakuwa nyama ya watu
naunga mkono hojaNdoto nyevu!!
Mzee hamna ulozi hapo, umeota unachokifiri muda mwingi.Mkuu tuwe seriously kidogo bana...
Huyo sio mtu mzuriKingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..
Pole ila kwa mtazamo wangu ndoto kila bunamu naamini huwa anaota sasa hapo hutegemeana hasa uchovu,mawazo yaliyokujaa kichwani na chakula ulichokula kabla ya kulala.
Ukikaa sasa ukapembua utapata jibu mwenyewe. Ndoto ya kweli kwangu huwa inatabia ya kujirudia yaan hata kama naimba au nawaza kitu fln ghafla inakuja.
Izo ndoto mbaya zimekutokea bcz hukusoma dua ya kulala as a muslim
Unachotakiwa kufanya ukiota ndoto mbaya tema mate upande wako wa kushoto mara 3 hlf mlaani sheitwani hlf soma dua ya kulala au kma utaweza kachukue udhu
Mwisho ukiona sehemu huielewi soma adhana ndugu hakika ya masheitwani wakisikia adhana hukimbia mbio nyingi sana