Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee

Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo

Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.

Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.

Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.

Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.

Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..

Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.

Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.

Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..

Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..

Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..

Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Mkuu hizo ni ndoto tu na hazina maana yoyote......just relax

Tatizo ni kwamba unaonekana upo so desperate kutakuja lazimisha kujua maana yake( BTW wanajimu wa mchongo watabunu tu maana yake)

Na kwakuwa wewe una AMINI haya mambo utaamini tafsiri uliyopewa kuwa ni kweli
Na shida ya Imani ndio hii...... ni kuamini tu
Ipo siku utatafsiri kwamba mama yako ni MCHAWI..... hapo ndio akili itakukaa sawa

Mara nyingi watu huwa wanaingia kwenye imani za kichawi kwa staili hizi hizi.... utajikuta unaishia kwenda kwa waganga kuweka sawa Tafsiri ulizotafsiriwa ili mambo yaende
 
Ulikuwa kifungoni
Alf huyo jini mahaba alikuja usiku kufanya mapenzi na wewe

Kuna sk kabla ile mtu anaota
hizo ndoto kwamba anafanya mapenz ndotoni
Sasa niliona live akiwa anaandaa mazingira ya kunichezea
Ah anaanza kuingia kitandani kwanza oyaa eh ukiomba ukutane nalo kabla halijaanza hulal
Nani aendelee kulala eh
Nilishtuka kwanza sikutaka nilione cha 2 limtu linavuta shuka
Eh nani abak kuvumilia
Hatar

Nikusali tu
Ahahahahha acha nasikhara wewe
 
Usijali mkuu ni ubongo ulipata changamoto wakati wa kuhifadhi kumbukumbu wala hamna mambo ya uchawi wala nini. Zingatia usafi,kula kwa kiasi na kujitahidi kupunguza mawazo kabla ya kulala.
Mkuu usafi ni 💯 ila hapo kwenye kula labda
 
Ndoto pevu tuu hiyo, inawezekana hujalomba muda mrefu em tafuta hata dada poa upige kimoja cha chap ili kuweka akili sawa
 
Ndoto pevu tuu hiyo, inawezekana hujalomba muda mrefu em tafuta hata dada poa upige kimoja cha chap ili kuweka akili sawa
We jamaa humu wanakuita genius ngoja nijaribu ushauri wako..
Japo mi ukiona sijaginga siku nyingi basi ni week
 
Mwaka 2022 Niliota vita za ndege angani, nikafuatilia nikaambiwa ni ishara ya kufilisika. Mimi huwa siamin upuuzi nikapuzilia mbali. Kilichotokea baada ya miezi sita mbele sitakaa niamini. Ila Mungu mwema naanza kurudi ila ile peak nilipokuwa bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom