Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,274
- 104,961
Kama ana nyama nyama mm ngekula vzr tuu 😎Kuwa na adabu mkuu hata ungekua wewe usingemla huyu mma supu...
Ogopa sana vya bure mkuu

😂😂Ah nimesema hvy tuu ili apate tiba ya tatizo lake, lkn Mm n nyeto ni nyama na mfupa
zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee
Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo
Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.
Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.
Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.
Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.
Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..
Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.
Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.
Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..
Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..
Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..
Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Weww usiku unakulaga matunda...Shibe kupitiliza itakuletea changamoto ya upumuaji uwapo usingizini na kukuletea maluweluwe na ndoto mbaya
Weww ujajua tuu mkuuUsiusemee Moyo...
Mkuu kabla sijashtuka na kuachana na ujinga wa kiimani za SUPERNATURAL kamaMmmmh aiseeee kwanini umewaza hvi mkuuu
Kwnye ndoto afu inatokea ndoto ya aina moja kila sikuTuuu yaaan anaota anamchapa huyo bibi show live live au
Mkuu leo natoka kutafuta nyumbaOmba sala ya ulinzi kabla hujalala ulimwengu unamengi tusiyoyajua
sasa huyo ulie mtag atakusaidia nini kiazi huyo?Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee
Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo
Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.
Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.
Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.
Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.
Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..
Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.
Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.
Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..
Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..
Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..
Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Haijalishi Hadi watu wazima wanapata ndoto nyevu!Hapana mi Nisha barekhe kitambo mkuu
Mimi akitokewa na mamusapu nampiga shoo bila hiana.secretarybird mwenzio katokewa na mama supu wewe utatokewa na mama chukuchuku,
Hizo ndoto zina maana
Kwanin wewe na mama muamuke ?
Mmekuta nje Kuna ajali ?
Kwann mama apotee ubaki peke yako ?
Kwann uzungukwe na watu wamevaa pampas?
Mbona umepelekwa makaburini ?
Kwann jimama lenye nyama likukalie na kutaka umle Tena ni makaburini,
Mimi sio mtu wa dini,
Hapo Kuna namna nyota/nguvu /kibali chako kinapotezwa kupitia ukiwa umelala na watu, either mishangaz unayolala nayo ishakuchukulia nyota, ama Kuna jini mahaba linakutaka likuzuie usiwe na nguvu ndani yako,
Makaburini wanakaa wafu, kitu kisichoongea wala kufanya kazi,
Ina maana nguvu/nyota / kibali vikiekwa makaburini ni kwamba wanaziua kama ni pesa hupati, kazi, mke, connection n.k
Kwann uzungukwe na watu waliovaa nguo za kitoto,
Unarudishwa nyuma, au Kuna kitu unapaswa ujifunze ama una kipitia ujifunze utoke hapo uende mbele
Unapofanya sex makaburini, Ina maana utamwaga je huoni shahawa zako ndo zitakuwa kafara yenyewe ? Ili Ibada ya kukufunga itimie lazima watoe kafara,
Kafara yao ni sperm zako,
Kwaherii pua bureini mpka wakati mwingine
Ni kawaida yangu mkuu nadhani pia nimejifunza kutokana na utamaduni wa hapa nilipo. Chakula cha usiku kisiwe "shindiliii" ili kutokusumbua endapo utalalia tumbo.Weww usiku unakulaga matunda...
Au unataka kunichomesha hapa mkuu
Hiyo ni wet dream.Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee
Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo
Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.
Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.
Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.
Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.
Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..
Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.
Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.
Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..
Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..
Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..
Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Mbona unaota ujinga 😂We jamaa ujitambui..
Mi nalalia shuka safi mkuu
maadui wako ni kina nanUmejua nn mkuu
mbona code zake zinajulikana ni rahisi kusifumbua ila narudia JITAMBUE ...KNOW THY SELFmaadui wako ni kina nan
Kuna Uzi humu sikumbuki vzr lkn ulikuwa unasema Kuna wachawi walinasa mahali na walikuwa na mvuto wajuba wakapima oil mchana kweupe bila kujari uchawi wao😹😹😹Ni kwel..ndoto ya kujirudia ni ya ukwel..kuna jamaa angu amepanga kwenye nyumba moja yenye bibi ambaye ni mlemavu wa miguu..inasemekana huyo bibi ana kamati hatari...jamaa kila akianza kusinzia tu bibi anamtokea na anampiga show ile mbaya....ilitokea ndan ya wiki moja non stop ikabid ahame pale