Nimeota naruka kama ndege

Nimeota naruka kama ndege

Heheeeeeeheeeeeeeeheeeee haya banah hi baby?

halafu kuhusu jina em subiri niote leo afu kesho nitakupa jibu ataitwa nani,maanake ndo kwanza umenigusia hilo swala so najua leo lazima nitaliota tu jina la mtoto.
maana yake ni mafanikio.
 
kiroho umeshanyakuliwa, hapo una malizia kifurushi chako cha wiki mpaka kesho.
 
Niliwai sikia kuwa ndoto ya namna hiyo kuwaa inamaana wewe unamizimu yenu ya asili ya kwenu so unapolala usiku wachawi au vitu vibaya vinapotaka kukishambulia kimiujiza hiyo mizimu ya kwenu inakuepusha kwa kukukimbizia mbali kimiujiza na hivyo vitu vibaya so hicho kitendo cha kukukimbizia ndio wewe ulipolala unajihisi unapaa au unatembea hewani.
 
Sio vizuri ndoto yako kuitangaza hadharani coz kutafasiri ndoto ni kipawa toka kwa Mola, sasa majibu utakayoyapata hapa mengi yatakufedhehesha nafsi...mara nyingi naongea hili lakini people kila wakiamka ni mara ndoto hii mara Ile. ..anyway ila kama ulikuwa hewani muda mrefu basi ni roho yako huenda ikatangatanga sana kabla haijafika mapala pake panapostahili.
Halafu mbonna ipo jukwaa hili?
 
mshana jr mbona mimi huwa naota future tu na sio past?

ni imaginations ambazo zimeumba maumbo halisi na kuyahifadhi kwenye sixth sense, lakini pia tafuta kitabu kiitwacho 'THE GIRL FROM FUTURE'
 
Last edited by a moderator:
kuna ndoto ambazo ni marudio ya ulichofanya mchana, na nyingine ni MAONO ambayo unakuwa unapewa ili ujiepusha na kitu fulani. hiyo ya kwako ni jambo jema linakuja soon usiogope. kwa mfano unaota unadondoka kwenye shimo refu ujue tabu ipo njiani. lakini ukipaa ni neema hiyo.
 
Leo uwahi kulala uone ndoto yako itakutulisha wapi
 
Wapo pia wanaotoa maana ya ndoto kuwa ni 1. Namna ambavyo Mungu anaongea na wewe kuhusu past yako present na future yako ni nyema kukaa na kutafakari atakupa jibu la ndoto yako.
2. Wanasema ni maraudio ya mawazo na fikra zako zote za mchana
 
Wapo pia wanaotoa maana ya ndoto kuwa ni 1. Namna ambavyo Mungu anaongea na wewe kuhusu past yako present na future yako ni nyema kukaa na kutafakari atakupa jibu la ndoto yako.
2. Wanasema ni maraudio ya mawazo na fikra zako zote za mchana
 
ha ha! mm kuna story za vitabu mbalimbali huwa nasoma hasa za mambo za kutisha ya majini, wachawi ambapo unakuta mchawi ameokaka ss anaanza kusimulia mambo waliokuwa wakifanya husema kwamba wanapomchukua mtu na kumpele kufanya kazi zao usiku wa manane wanapo paa na ww mwana forum wakiwa mawinguni ndipo unaanza kuota vijindoto vya kupaa labda wanakutoa Dar to Shinyanga ,aisee noma sana mkuu mrudie Mungu sali sana kabla hawakuchukua kimoja siye tukazika gogo au mgomba
 
Ndoto ni ndoto tu, ukiziweka maanani ndiyo zitakusumbua.
Ijapokuwa watu wenye imani tofauti wanaamini Mungu anaweza kuwasiliana na wanadamu kwa njia ya ndoto hasa wanapokuwa wazee, lakini ndoto hizo hizo hata shetani anazitumia kwa mambo yake. Sasa wewe inategemea upo kwenye imani gani
 
Ndugu yangu napenda kukuambia wapotezee wanaokutabilia kifo. hiyo ndoto kwangu ni ya kawaida sana and pia mama yangu mzazi huota sana. tulifuatilia inaitwa sanaa kwa kiarabu. Mara kadhaa hutokea very rare possibly once a year. Kwangu hutokea mara kadhaa hasa pale ambapo napambana na kitu and mambo yanaelekea kutengemaa. Kwamfano nilikuwa na kesi na mwajiri wangu and siku nikaota hiyo ndoto and asubuhi nikaamka nasmile. my wife aliponiuliza nikamwambia ile ndoto imenitokea ni kweli kesi ilifutwa na nikapewa barua kazini..

Nakushauri ukipata majibu mazuri niupdate,, naipenda sana that ndoto sometimes unapaa kama eagle vile.
 
Ndugu wana JF. Habarini za asubuhi. Nimeota natembea halafu nikapaa sio juu sana kwa muda mrefu. Sasa hii ina maana gani na ni kitu gani husababisha ndoto?

angalia usije ukaota id yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom