Mpwa sijui, siwezi kusema nisilolijua, mimi nalijua hili, wewe kama unajua hilo sema
Chunguza. Ukiwatambua waliokuwa wakijaribu kuwaaminisha watu kipindi hicho kuwa Utawala uliopo unasajili namba za kadi ili uzitumie kuibia kura wakati kuna database ya hivyo vitambulisho, utakuwa umewapata hao wanaojaribu kuaminisha watu kuwa kuna hadithi kama hii uliyoileta. Kumbuka uvumi wa mkuu wa majeshi kulishwa sumu. Kuna watu zaidi ya themanini katika mikoq karibu yote ambao wamekuwa wakilipwa kwa miaka mitatu ili watengeneze matukio na taarifa za uongo.
Ukisoma na kukomenti kishabiki namna hii hutakaa uone ukweli kamwe, maanna umeshapofushwa na mambo haya, nadhani nikubali kushindwa ili tusipotezeane muda. Umeshinda, kama ni hadithi basi wasimulie na wengine na wajukuu zako I played my part na wewe play yours
haya mangi unanitafutia wapi kama sio porojoNakutafuta sana, tuwasiliane faster sana, niko offline hadi saa sita leo nitarudi hewani