Nimeoneshwa demu wa JF

lolz... I cant speak for mwali... Atakujibu mwenyewe.. About mi the identical twins part ndo ya ukweli.. Sawa jmushi?
Sawa mami, ila kwanini usiweke yako badala ya kuweka hiyo ya huyo identincal twin wako?

Kama mmefanana kwanini uchague yake lol!
 
Kwa hiyo avatar yako, niko tayari kabisa kukupeleka dina. Tena ni ugomvi kabisa na dadangu. Vipi upo tayari nikupeleke dina kijana?

Wewe wa kike au kiume???kama wa kike plz nipe namba yako!au kama wa kiume na unapenda michezo ya kike kibatabata swadakta pia!KY itachukua nafasi yake....
 
Kama unataka ukweli weka picha yako tukuone. Unakasirika nini? utakuta wewe na hiyo ni mchana na usiku.

kwanini kukiwa kuna kachembe ya ukweli huwa mnakuwa wakali? kwi kwi kwi kwiiii kwi.

Mie nimeshasema siiweki kwa kuwa sio handsome na siweki picha ya mtu mwingine kujifanya ndio mimi.

Wewe ungekuwa mzuri namna hii, saa hizi ungekaa unalalama JF, ungekuwa kwenye ma apoointment ya shooting na modelling huko kwa wenye kujuwa uzuri ni nini:

Sasa kama wajijua kuwa we mwenyewe ni kiporo, ndo walazimisha na wenzio wawe viporo kama wewe?? teh teh teh teh ..........Ribosome bana!!!
 
Alokwambia JF wanataka sura nzuri na maumbo mazuri nani?
Hapa sio facebook.
Avatar ni avatar tu. Na haimaanishi kama una sura nzuri uweke picha nzuri.
Au kama una sura mbaya, uweke hapa.
HAPA TUNAHITAJI MCHANGO WAKO WA KIMAWAZO.

Kwa viakili vyako ulivyojaaliwa na huyo aliye kujaalia, nioneshe mchango wako wa kimawazo unaouona huu una maana.
 
Wewe wa kike au kiume???kama wa kike plz nipe namba yako!au kama wa kiume na unapenda michezo ya kike kibatabata swadakta pia!KY itachukua nafasi yake....

Mimi mwanamme, namba sikupi kama kweli wewe u mwanamme haswa wa kujivuna, weka namba yako hapa mimi ntakupigia, usipate gharama ya voucher.

Halafu huo mchezo unaousema mimi naupenda sana, na kama uko kama hiyo avatar yako, nipo tayari kukukiss mpaka asubuhi, maan, mnhhhhhh mtoto umependeza.
 
Sasa kama wajijua kuwa we mwenyewe ni kiporo, ndo walazimisha na wenzio wawe viporo kama wewe?? teh teh teh teh ..........Ribosome bana!!!

Kipipi, mbona unaonesha mugongo tu? mapokezi vipi?
 
Wengine tupo hapa kabla wewe hujajuwa kama Jambo forums ni nini wacha Jamii.
Inawezekana kabisa Mkuu kuwa wewe upo hapa tangu JamboForums au kabla ya hapo, lakini kujitokeza kwako tarehe 9 Februari kunaweza kumaanisha kuwa ama ulikuwa "mtazamaji" tu au umebadilisha ID.

Pamoja na hayo, lengo langu halikuwa kulinganisha nani kajua JamboForums au na kajua JamiiForums, bali kile ambacho mhusika anazungumza.

Hata hivyo, ikiwa unataka kulinganisha hilo, angalia HAPA.
 
Kisa cha kuweka nimejina lini. nimepost nini, kilihusu nini kama si ushaku naku. Wewe unaona tarehe za kujiunga JF ni muhimu sana? what matters ni nini unachochangia katika mada zinazoletwa na kama huna cha kuchangia unaufyata.
 
Haa! Haaa! Haaa! Nimeoneshwa demu wa JF
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom