Nimeoneshwa demu wa JF

Kipipi kama hiyo avatar ni wewe na bado hujapata wakukunulia Prado, basi jinyonge. Hoyaa, mbona unajiachia na mafinga mwenyewe kwa mwenyewe?

Nichangieni kwanza rambirambi mnikabidhi alafu ndio nijinyonge!!! Dah.....mshikaji ilo swali sijakuelewa, kujiachia na mafinga mwenyewe kwa mwenyewe, maanake nini??
 
Nichangieni kwanza rambirambi mnikabidhi alafu ndio nijinyonge!!! Dah.....mshikaji ilo swali sijakuelewa, kujiachia na mafinga mwenyewe kwa mwenyewe, maanake nini??

Huuoni huo mkono wako wa kushoto uko wapi?
 
Au ulikuwa wewe?

Hata Mheshimiwa Sugu anawakilisha na ndio kwao huko.
Hata hujui ni nani unae muongelea..
Mwanaume mzima utavuliwa suruali usutwe..

Kama unajiamini kweli si uweke mambo
Hadharani ..weka hiyo picha sema ni ya nani .

Otherwise we ni mmbea wa kutupiliwa mbali ..
Na aibu huna ..
 
Sasa ingekua tunaweka Avatar ili watu wajue tunavo fanana si tungeweka tu picha kabisa?
 
Hata hujui ni nani unae muongelea..
Mwanaume mzima utavuliwa suruali usutwe..

Kama unajiamini kweli si uweke mambo
Hadharani ..weka hiyo picha sema ni ya nani .

Otherwise we ni mmbea wa kutupiliwa mbali ..
Na aibu huna ..

Nna uhakika utakuwa upo tofauti na avatar yako, kuvuliwa suruali mbona raha tu, wewe huvuliwi?

Usingetokwa povu ingekuwa haijakugusa.
 
Nna uhakika utakuwa upo tofauti na avatar yako, kuvuliwa suruali mbona raha tu, wewe huvuliwi?

Usingetokwa povu ingekuwa haijakugusa.

uwone sura yangu uringe..

madudu kama haya hayaniingii.
ila wanaume wambea ni wa kuvalishwa Gstring kichwani..
khaaa na muonea huruma ulie nae , kam we uko hivyo..
 
nyooo...wewe na huyo JF member wa zamani kafieni mbele huko,huku wanaume wamekaa kiume na wanafanya kazi za kiume,sio kukaa vibarazani na kuanza kupiga umbea!!
 
Mie siitazami ile (sambusa), inatisha huwa naila tu.

Una uhakaika na uana ume wako?
Hakuna mwanaume kamili asiyependa kuiangalia ile sambusa.
Wasiopenda kuiangalia bali wanaila ile sambusa wako kabatini.
Tena watu wa dizain hiyo ya kabatini ndio huwa wanaangalia sura sana.
 
Back
Top Bottom