Nimeoneshwa demu wa JF

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,261
3,909
Katika purukushani zangu za hapa na pale kuna memba mmoja wa JF wa zamani (jina kapuni) akanionesha demu wa JF. Kuingia JF na kuona avatar yake wache niumie mbavu kwa kucheka, ni vitu viwili tofauti, duhh japo kungekuwa kuna kamfanano kadogo nimgemsifu.

Nawaomba mijimama na mijibaba ya JF msizuge na kuwatia watu tamaa kwa avatar ambazo hamfanani nazo hata chembe.
 
Wangetaka kuonekana kama walivyo wangeweka picha zao halisi!
 
Katika purukushani zangu za hapa na pale kuna memba mmoja wa JF wa zamani (jina kapuni) akanionesha demu wa JF. Kuingia JF na kuona avatar yake wache niumie mbavu kwa kucheka, ni vitu viwili tofauti, duhh japo kungekuwa kuna kamfanano kadogo nimgemsifu.

Nawaomba mijimama na mijibaba ya JF msizuge na kuwatia watu tamaa kwa avatar ambazo hamfanani nazo hata chembe.
Sasa unachoshangaa hapo ni nini? Kweli nyani haoni kun...le, mbona hushangai jina ulilotuwekea hapa ni tofauti na jina lako halisi?
 
Amuweni siku moja mbandike picha zenu za ukweli tukiwakuta mitaani tusiwashangae.

Mie ningekuwa handsome ningebandika yangu.
 
Mliozoea kuto ngo za hata sauti za simu mtaipata tu,
hivi wewe ulijua jf ndo pa kupata mwenza eti eeh.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom