Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 646
- 415
Wadau mimi ni mwalimu wa halmashauri moja hapa Tz.nimeajiriwa kama mwalimu wa stashahada.Baadae niliomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa ila nkaona si busara kupoteza fursa.
Nilipoondoka mkurugenzi kazuia mshahara wangu na nilipohitimu 2012.nikakuta wameshaniondoa kwenye payroll.
Tangu 2012 ninahangaika nirudishwe payroll ila hadi leo kila siku danadana.
Sasa naombeni ushauri maana kuna aliyeniambia kuwa ukishaondolewa payroll unaweza kuanza ajira upya bila tatzo.
Je nianze upya ajira?