Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

Mamlaka Husika Imethibitisha Hilo.
video ni ya mda hyo mkuu
Screenshot_20240121-234852~2.jpg
 
Kuna sababu nyingi hapo, inawezekana hakuwa hata na hilo wazo la kujirusha wakati akipanda boti, wazo limemkuta huko huko baada ya kuzikumbuka changamoto zilizoko mbele yake, ndio akaona hapana, bora safari ya maisha yangu iishie hapa.

He paid 35,000/= for his death, kweli siku hizi hakuna kitu cha bure.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom