Nimeona nimuachie tu mtoto

Nimeona nimuachie tu mtoto

"Ukiona wewe unaandika sana kuliko mwenzako, unatumia nguvu nyingi kuandika huku yeye anaitikia kwa mikato, jua kabisa huna chako". By PhD Christa.
 
Kupenda kusikopendwa huyu alikupenda mwanzo lakin sasa hakupendi kabisa alishakujua madhaifu yako,kwa hiyo kashapata mwingine hatarudi tena,utajisumbua tu.piga moyo kode muache aende zake
 
Back
Top Bottom