Nimeona nimuachie tu mtoto

Nimeona nimuachie tu mtoto

Ushauri mzuri pia huu
Haya ni watoto Sana kwa Kila kitu mume hovyo muke hovyo

Ushauri kwa mume
Kama umeamua kulea mwanao usikubali kutoa tumiz uchochoroni hakikisha unampa kupitia serikali au wakala wa serikali ili uwe na uhakika wakulea
Kwa kuwa ameshaanza kukutoa mtoto asikufahamu na hata Kama atakuwa atamfaham baba wakambo au mama ndo walezi pekee wewe ulimteoekeza.

Anagalizo

Anavoendelea hivyo anaweza kuja kukuambia siyo mwanao akawa ni mtoto wa huyo anayesema amempata , yawezekana ni wa zamani ndo alimpa mimba baada ya kuwa kwenye mgogoro naye akakubambikia ili apate unafuu wa maisha
Uwe mwangalifu
 
Ngoja tuone mkuu.

Haya mambo ovyo sana.
 
Good move on na unapokwenda usiweke mazoea ya kumlalamikia mwanamke ovyo. Know to absorb your sorrows ht ukimpenda usimwonyeshe yy ndio kila kitu kwako. Ataona km umempata kibahati bahati... Jifunze namna ya kuvimba kiume.
Kweli mkuu.

Hapo nilianguka.

Naanza upya.
 
Haya ni watoto Sana kwa Kila kitu mume hovyo muke hovyo

Ushauri kwa mume
Kama umeamua kulea mwanao usikubali kutoa tumiz uchochoroni hakikisha unampa kupitia serikali au wakala wa serikali ili uwe na uhakika wakulea
Kwa kuwa ameshaanza kukutoa mtoto asikufahamu na hata Kama atakuwa atamfaham baba wakambo au mama ndo walezi pekee wewe ulimteoekeza.

Anagalizo

Anavoendelea hivyo anaweza kuja kukuambia siyo mwanao akawa ni mtoto wa huyo anayesema amempata , yawezekana ni wa zamani ndo alimpa mimba baada ya kuwa kwenye mgogoro naye akakubambikia ili apate unafuu wa maisha
Uwe mwangalifu
Ngoja nione tu mkuu yanavyoenda.
 
Akili ya maarifa ya dunia ni wachache Sana wanaweza ifahamu

Lakini ukiifahamu utaishi maisha mema sana
 
Wewe ni mwanaume.
Kaa kimya inaonesha unampenda huyo mdada.
Kwa maelezo hayo huyo dada anahitaji sana upendo wako, anahitaji sana faraja yako anahitaji sana attention yako lakini pia inaonesha hata matunzo na matumizi ya mtoto ni ya tabu(hapa mdada nae hajakomaa bado na hana busara kabisa alitakiwa akutie moyo upambane mlee mtoto)
Hana mwanaume wala nini anatikisa kibiriti maana anajua unampenda.
Hizo ni stress tu kuwa na kichanga bila kipato maalum na kama ulivyosema na wewe maisha ya kuunga unga.

Be a man simama imara huyo hatomaliza hata miezi 3 atakutafuta.
Umri na hasira za mabinti under 25. Ilinitokea kama hiyo baada ya mwezi akadai nilimharibia maisha yake. Mie kimya sasa mtoto ana 15 yrs
 
hana kazi,na pia analea..

jombaa fanya kazi kwa bidii huo mzigo ni wako...ni ushamba wake wa kupata chungu kipya na kutupa cha zamani

atakukumbuka tu ni mzazi mwenzio

kuwa mkarimu na mtunze mtoto wako hata kama atakuletea 'njiani'...na punguza kujipendekeza kwake hana ujanja kwako umeshamzalisha
 
Mimi nimelea mtoto sijawahi kugomea kutoa matumizi ya mtoto.

Huwa naamini katika kumchukulia polepole ili ajifute mwenyewe.
 
Back
Top Bottom