Nimekiri kuwa nilikuwa ninampenda, ila ninajifunza kitu!!Jamaa bado unampenda huyo mwanamke, usiudanganye moyo wako!
Mtoto ana miezi minne, siwezi kumchukua akiwa na umri huo.
Ushauri bora sana sana uzingatie..Asante sana.
Nilijaribu kukaa nao wakasema tumalizane wenyewe.Pole Sana Kaka angu,
Pole kwa yote yanayokupata.
Mtoto ni wako na una haki ya kumuona na kumtunza.
Ungejaribu kuongea na wazazi wa huyo mwanamke ili wakusaidie namna nzuri ya kutoa matunzo ya huyo mwanao.. Kama nao hawatakuelewa basi kutakuwa hakuna namna itabidi usubiri akue kidogo ili umchukue mwanao.
Pole mkuu amini yote yana mwisho.
Safi..asimwache huyo dada wa watu..inaonekana wote sana stress...apambane sana kama mwanaume mpaka kipato cha maana...angekuwa kanda ya kati ningewasaidia wote kiushauri na kiuchumi kidogo.Shida ni kipato.
Chanzo cha yote haya ni kipato.View attachment 1463227
Usisikilize ushauri wowote wa mtu yoyote anayekushauri la kubomoa uhusiano wenu..narudia kaa kimya kwa muda pambana sana uweke uchumi sawa.hujasema upo wapi ungekuwa kanda ya kati tungeongea vizuri na kupeana namna ya kujikwamua hapo ulipo.usimwache kamwe huyo Dada no matter what wala kumwacha mtoto alelewe na mzazi mmoja.Kweli mkuu.
Mimi nimelea mtoto sijawahi kugomea kutoa matumizi ya mtoto.
Huwa naamini katika kumchukulia polepole ili ajifute mwenyewe.
Ni kweli mkuuUsisikilize ushauri wowote wa mtu yoyote anayekushauri la kubomoa uhusiano wenu..narudia kaa kimya kwa muda pambana sana uweke uchumi sawa.hujasema upo wapi ungekuwa kanda ya kati tungeongea vizuri na kupeana namna ya kujikwamua hapo ulipo.usimwache kamwe huyo Dada no matter what wala kumwacha mtoto alelewe na mzazi mmoja.
Mimi ni mwanaume niliyekomaa kwenye maisha..utajuta sana ukimwacha..ignore ushauri negative... Be positive always.utaishi nae maisha ya furaha sana huko mbele.
Tena mtakumbushana hii situation mliopitia mtajikuta mnacheka tuu..
Tena utamshukuru kuwa changamoto aliyokupa ili kufanya upambane mpaka mmefika hapo.
Hizo sh 2 unazopata we mtumie tu.Ni kweli mkuu
Nashukuru sana.
Ahsante kwa kuona hilo. Wengi wanaoshauri hawajaona hilo.Umri na hasira za mabinti under 25. Ilinitokea kama hiyo baada ya mwezi akadai nilimharibia maisha yake. Mie kimya sasa mtoto ana 15 yrs