Una wasiwasi na mjini hiyo hiyo unayoifahamu wewe!Unaposema mjini sikuelewi una maanisha kitu gani
Mwana ccm ukimwambia kujipanga upya dhidi ya upinzani anaona unamvunjia heshima



Kujipanga mara ngapi wakati sisi CCM hatujui kushindwa ni ushindi tu!Mwana ccm ukimwambia kujipanga upya dhidi ya upinzani anaona unamvunjia heshima
Hao ni CCM kwa 100%, kama huamini subiri 2025 au wewe umeona hizo nguo nyekundu ukajua CHADEMA hao, nikujuze hizo ni nguo zao za asili na rangi nyekundu za nguo zao hazihusiani na CHADEMA kabisaNawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.
Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.
Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania.
Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.
Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.
Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.
Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.
View attachment 2743259
Sawa mkuuHao ni CCM kwa 100%, kama huamini subiri 2025 au wewe umeona hizo nguo nyekundu ukajua CHADEMA hao, nikujuze hizo ni nguo zao za asili na rangi nyekundu za nguo zao hazihusiani na CHADEMA kabisa
Hao ni CCM 100%, subiri ifike Nov 2025
Wee huwajui kumbe wamasai, futa hiyo imani yako juu ya wamasai, kwanza wenzako hadi leo wanajua CCM ndio Chama cha Sokoine na Lowassa, hao wanafuata Malaigwanani wamesema nini, malaigwanani wote ni CCMNinacho amini ni kuwa wamaasai sasa wamegundua kuwa kimbilio lao ni Cdm
Maneno kama haya, yanatumika kumsindikiza marehem kaburini... Sasa sijui unamaana gan 🧐🧐Hahahahaaaa!
Haters bwana!!
Go mama Samia Suluhu, goooooo!!
Mzee ninafanyia shughuli zangu karatu naelewa nini MmasaiWee huwajui kumbe wamasai, futa hiyo imani yako juu ya wamasai, kwanza wenzako hadi leo wanajua CCM ndio Chama cha Sokoine na Lowassa, hao wanafuata Malaigwanani wamesema nini, malaigwanani wote ni CCM
Mzee ninafanyia shughuli zangu karatu naelewa nini Mmasai
Siyo kuwajua tu inabidi ufanye nao kazi,uishi nao angalau kila siku masaa 6 mpo wote uwe na muendekezo wa kusoma mazingira yao ya siku hadi siku.Ok, nchi nzima najua hii na dunia, Karatu kuna kwa Sumawe, Gipps farm, Karatu Sekondari, Karatu Mission, Mangola, Karatu Endorafta, Karatu Oldeani, Mangola, Mbulu mbulu, Rhotia, Bashay, Karatu mjini, etc mikoa na wilaya zote najua in details, sasa wamasai nawajua sana, nasema Nov 2025 subiri kura alafu uone
Chama cha Mazezeta wamesha poteanaNawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.
Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.
Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania.
Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.
Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.
Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.
Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.
View attachment 2743259
Juu propaganda uchwara za dalali. Chini hali halisi ilivyokua Ngorongoro leo, wananchi wakimsikiliza Lissu. Ruge alisema OGOPA MUNGU na TEKNOLOJIA.!Chama cha Mazezeta wamesha poteana