Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.

View attachment 2743259
Usiwaamini Wamasai, kesho haohao wakipelekewa Gwajima au Makonda watafurika.
Huwa hawajielewi hao watu. Tuwapiganie tu kwa ajili ya utu but not otherwise.
 
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.

View attachment 2743259
Kweli tumechoka na serkali hii!
 
Achana na upuuzi wa siasa wewe.
 
Halafu ccm inapita kisha lawama zinaanza mwakani tena hivyo hivyo mafuriko ccm inapita lawama zinaanza tangu enzi za Mrema.
 
Mim ni bawaachq ila sikielew chama chabgu hakina sera
 
Wamaasai wakiwa na uhakika wa mazima na nyama na malisho ya ng'ombe lazima wafurahi.
Mmaasai ni rahisi sana kum handle kama utamuachia malisho ya mifugo yao na maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom