Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.View attachment 2743259
Mh lissu na Chadema wapo na upako wa Kimungu, ccm watajua hawajui
 
Aidha ni 'coincidence' au siyo, kwamba Mwarabu anarithishwa mali zetu za asili - Loliondo na sasa Ngorongoro na Bandari zote za Tz Bara (nchi ile ya Tanganyika) - katika awamu ambapo MKUU wa nchi anatokea ule upande mwingine wa nchi zilizoungana , JMT. Raia wa NCHI nyingine iitwayo Zanzibar na mwenye akiwa na vinasaba vya Kiarabu.
 
TWAAAFWAAAAA
 
Kwahiyo hao unao waona ni ngamia?
Unakubali kudanganywa kama zuzu na kitenge?
Kitenge ndio nani simjui nipo hapa algeria sema nikuletee nini swahiba sema tabia ya kuagiza zawadi halafu hufuati mabuti yako ya mvua na bips zipo mpaka leo stoo nilikuletea toka brunei!
 
Ninacho amini ni kuwa wamaasai sasa wamegundua kuwa kimbilio lao ni Cdm
Sio wamasai pekee, hata waTanzania wengine wote wangependa kuwa na kimbilio mbadala badala ya hiki chama cha CCM kilichoamua kuwa adui mkubwa wa waTanzania wote.
Kwa hali ilivyo sasa hivi, ni CHADEMA pekee ndiyo inayoonyesha matumaini hayo.
 
Sahihi
 
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.View attachment 2743259
Hakuna mmasai hapo hata mmoja. Hao ni masela wa Godbless Lema tu toka mjini wameletwa wakapewa na madera ya kimasai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom