Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,580
Porojo hizi
Recently nimeona thread hapa JF ikihusu Mwandishi wa Habari kuchapwa viboko huko kwa Wamasai. Hakika nilimuonea huruma baada ya kuona picha yake ya manundunundu.Umeonaeeeeeee?
Bora yule Kisanduku angevuta trigger tu siku ile pale Protea akalimwaga mavi.Ubabe wa Nape
makuwadi ya warabu koko dpworld mtaenda dubai 2025.Hahahahaaaa!
Haters bwana!!
Go mama Samia Suluhu, goooooo!!
'...jakamoyo"Jitahidi uwe unalitazama jambo lolote kwa uhalisia wake kabla ya kuweka unayoyawaza.Itakusaidia sana.Laa sivyo,utajikuta unapata jakamoyo.
Lawama zote kwa mchonga ndiye alituletea huu muungano wa mchongoAidha ni 'coincidence' au siyo, kwamba Mwarabu anarithishwa mali zetu za asili - Loliondo na sasa Ngorongoro na Bandari zote za Tz Bara (nchi ile ya Tanganyika) - katika awamu ambapo MKUU wa nchi anatokea ule upande mwingine wa nchi zilizoungana , JMT. Raia wa NCHI nyingine iitwayo Zanzibar na mwenye akiwa na vinasaba vya Kiarabu.
Kapata basha wa kiarabu yuko honeymoon hukoLabda Algeria ya chato
Umepachika propaganda hapo.Muungano na Wamasai wapi na wapi Gagarino?Lawama zote kwa mchonga ndiye alituletea huu muungano wa mchongo
Usitumie hayo kufikiriHakuna mmasai hapo hata mmoja. Hao ni masela wa Godbless Lema tu toka mjini wameletwa wakapewa na madera ya kimasai
makuwadi ya warabu mwambie mamayenu kuwa 2025 akimbilie kwa mabwana zake dubaiUnatia aibu wamasai wamegoma mkutano ulikuwa ufanyike asubuhi umeairishwa mpaka mida hii na pia umekosa watu!
Kama ni hivyo, basi hata yale maneno ya "HAPA NI KAZI TU! " yafutwe kwenye zile ndege na meli!Hiyo kauli aliianzisha mkosa maadili slaa. Umesahau? Yuko wapi sasa? mungu alimwacha njiani au yeye kamuwacha mungu njiani?
Exclamation Mark, km full stop, inaaashiria mwisho wa sentensi, nilishamaliza.Mbona hujamalizia, goooo to the h***ll
Haters ni wa kuwahurumia tuHakuna mmasai hapo hata mmoja. Hao ni masela wa Godbless Lema tu toka mjini wameletwa wakapewa na madera ya kimasai
🤣🤣🤣🤣🤣Ma ccm naona mnaumia sana kumuona mh Lissu akipendwa na wamasaai.
Maana mlizoea kumuona akipendwa Lowasa tu
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.
Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.
Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania.
Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.
Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.
Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.
Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.View attachment 2743259
Chama changu ccm kinakosa watu wenye akili wa kuyatazama mambo KWA uhalisia wake!!Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.