Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Nimeona maajabu leo Ngorongoro

Chama changu ccm kinakosa watu wenye akili wa kuyatazama mambo KWA uhalisia wake!!

SASA hao wamasai wamepigika KWA hofu,vitisho,wasiwasi KWA SASA LAZIMA waunge mkono upinzani!!

Kama waliamua kuwekeza ngorongoro kwanini wasingewaacha wawepo hapo hapo walipopazoea!!?

Kama awamu hii imekosa pa kupigia pesa Bas wangekubali kuwa waliowatangulia wamekula vya kutosha wao hawana pa kula Basi kuliko kulazimisha mwishowe kuwaumiza watu!!

Muhimu ni kujipanga tena upya…
 
Ccm kwa sasa haisikii ushauri maana wameshagundua kuwa hawapendwi hivyo wanaamini kutumia msuli ndio ukombozi wao.
 
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.

View attachment 2743259
shida moja ni wachache, na hawajui kujiorganize, wangelijua kujiorganize hawa jamaa kura zote zingeenda upinzani 2025, wkasababu hili suala la ngorongoro limewakera kupita maelezo na hawawezi kusahau hivi karibuni.
 
Ndiyo hapo sasa kwa nafasi kama ya leo ilibidi Ole Sosopi mmasaai mwenzao ilibidi abakie hapa Ngorongoro angalau kwa wiki 2 akitoa elimu kwa ndugu zetu hawa
 
mbunge wao alishawekwa ndani, icho kidonda cha pili baada ya vile vidonda vya loliondo na kufukuzwa ngorongoro, hapo tundu alikuwa anaenda tu kutonesha kwenye kovu na mioyo yao wote na wengine wanaotokea huko inaenda chadema. nafikiri chadema wanatakiwa strategic, kwenye watu/opportunities kama hizi wanatakiwa kusimika misingi ya kueleweka, na kwengine kosa. kama walivyotumia opportunity ya dp world, na kwa masai pia ni opportunity ili wawe na uhakika kuwa kura za wamasai zooote zipo mfukoni, na za wafuasi wa TEC. natarajia kuona tundu lisu na mbowe kokote wanakoenda wawakumbushe wananchi waraka wa TEC ili kujihakikishia umiliki wao.
 
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.

View attachment 2743259
Aisee ni noma! Mbona uvccm humu walisema hapo ni monduli na sio ngorongoro? Ila uvccm itakua mganga wao alidanja kitambo san!!
 
kwa ngorongoro sijui simanjiro sijui wapi huko, ubunge ujao mtu atakayetakiwa kushinda ni chadema, hata huyo wa ccm akigombea na upande wa pili akaenda chadema, watachagua chadema. huku mjini kuna masai wengi tu wasomi, nendeni mkasaidia masai wenzenu huko waweke mbunge wa kuwatetea vya kutosha, sio kuwatetea kwa woga.
 
CCM yetu inafikiri hizi ni zama za kizamani kwamba wananchi hawajui mambo yanavyokwenda katika nchi yetu, hawa ndiyo wanatakiwa kufundishwa katiba kwa miaka 3, watu wanaotafuta habari kila kukicha kupitia simu njanja zao.

CCM wawe makini sana, TZ ya leo si ile ya miaka ya 90 wataaibika vibaya sana.
 
Nawafahamu wamaasai kipindi kirefu ingawa siyo sana.

Nimeishi hapa Karatu vipindi tofauti tofauti hasa kule Mang'ola kwenye wakulima wengi wa vitunguu.

Sijawahi kujua kuwa wamaasai ni wapenzi wa siasa za upinzani hapa Tanzania .

Nimeshuhudia leo hapa Ngorongoro na hakika sikuamini maana ni mara yangu ya kwanza kuona hili jambo.

Hii ni rekodi mpya kwangu na daima irabakia maishani mwangu.

Leo wamaasai wameimba nyimbo nyingi sana na kusali na kuimba nyimbo za kanisani kwangu mimi ni maajabu.

Tuwape nafasi wanaweza kuongeza chachu kwenye vyama vya upinzani.

View attachment 2743259

Safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom