Nimeona chupi ya ajabu!

Nimeona chupi ya ajabu!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,934
Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi!
Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa akichukua chupi ambazo zimetuna nyuma dozen nyingi tu !
Nikahoji hii ndio nini !....nikaambiwa naishi wapi !
Hizo eti nichupi za kumfanya mwanamke aonekana anamakalio makubwa!zimewekwa kasponji fulani hivi
sio hiyo tu pia kuna vikaptula vya kumfanya mtu aonekane ana hips za haja!
Ama kweli hii ni dunia ya urembo
 
hahahaha aukome kwenda tena huko Mpwa, subiri tutawaangalia tu njiani na kuishia kuwangalia.
we acha tu wife ana genge lake la kuuza nguo sasa anaogopa vibaka! Ila kuanzia sasa nitaanza kuwaangalia kwa jicho la tai wanawake wenye makalio na hips kubwa!
 
Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi!
Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa akichukua chupi ambazo zimetuna nyuma dozen nyingi tu !
Nikahoji hii ndio nini !....nikaambiwa naishi wapi !
Hizo eti nichupi za kumfanya mwanamke aonekana anamakalio makubwa!zimewekwa kasponji fulani hivi
sio hiyo tu pia kuna vikaptula vya kumfanya mtu aonekane ana hips za haja!
Ama kweli hii ni dunia ya urembo

Hii siyo urembo maana ni zaidi ya maigizo🙂 Yaani sisi huku watizamaji tunadhania ni NATURAL kumbe KANJANJA??? Kwa dtyle hii tutaibiwa sana
 
Hii siyo urembo maana ni zaidi ya maigizo🙂 Yaani sisi huku watizamaji tunadhania ni NATURAL kumbe KANJANJA??? Kwa dtyle hii tutaibiwa sana
nimemshauri mama watoto aziweke dukani kwake ...sisi si twafuta fwedha! au mnaonaje
 
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
Nadai Ela yangu hapohapo, tena lazima alipe na gharama zingine kama
 
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
Nadai Ela yangu hapohapo, tena lazima alipe na gharama zingine kama kinywaji alicho kunywa chakula alicho kula mpaka chumba nilicho lipia lazima avilipe. Arafu namuambia kweli kwamba sikumpenda bali alinishawishi kwa urembo wake wa kuchovya kwahiyo asirudie tena.
 
makalio yakishaonekana makubwa halafu iweje?? ha ha ha wanaume mnijibu hapa
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Duuuuuuuu••••••••••••••Kumbe hata mm mshamba bt nashukuru cjawahi kutana naye wa namna hyo coz jogoo wangu huwa na hasira sn na anapenda sn kususa.!
 
Hii siyo urembo maana ni zaidi ya maigizo🙂 Yaani sisi huku watizamaji tunadhania ni NATURAL kumbe KANJANJA??? Kwa dtyle hii tutaibiwa sana

Asilimia kubwa mijini humu wanaume tuna pagawishwa na mavazi tu wayavaayo wasichana zaidi ya hapo hamna lolote
 
ukitaka kuona orijinale nenda kawaangalie wale wanaovaa swimming costumes labda ukute kainywa ya kichina ili avimbe maeneo ya hips na makalio kazi kwenu.
 
zipo nyingi sana na wengi utumia ukija kumuona live utafikiri amepigwa pasi vile alivyonyooka kumbe hizo zinawabeba
 
makalio yakishaonekana makubwa halafu iweje?? ha ha ha wanaume mnijibu hapa
Mwana mke mwenye makalio makubwa (yasiwe kama ugonjwa) anavutia kimuonekano kuliko mwanamke mwembamba. Akatizapo mwanamke mwenye ---- lililo jaa vizuri sawa na mwili wa muhusika kila kidume lazima kigeuke kumuangalia haijalishi ni mavazi gani aliyo vaa hata avae na kujitanda khanga huku kichwani kabeba gunia la mkaa na jasho likiwa lina mmwagika bado vidume tuta pagawa,wapo watakao jikwaa na wapo watakao vunja shingo kwa kumsororea bila kusahau sisi wengine wenye ugonjwa na viumbe dizine hiyo tutajawa na mate midomoni kama tuna mimba changa. lakini kimbau mbau (maumbo ya kimisi) hata avae chupi tu hato angaisha roho za watu wengi, ispokua macho yameumbwa bila pazia kwahiyo watu hawataacha kumuangalia na ukizingatia kavaa chupi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom