Nimeokota SHANGA Bafuni ASUBUH YA LEO

Bajabiri nawe, uliziokota ili iweje?

mdau badili TABIA,niliziokota kwa lengo la kuzikabidh kwa mhusika huenda alizisahau wakat akioga,kama ni lengo la kuzitupa pale si mahala pake,so hata kama hakua akizihitaj ina maana litakua funzo kwake kuwa anapaswa kuzitupa mahala MUAFAKA
 
Last edited by a moderator:
Tumeununua Ugomvi nawe Ukapotea Jumla Bajabiri.
Nini tatizo?
Au una Multiple?
Au una Kisa nae,kaja ki-New?

hakuna tatizo madame,nilibanwa na vimajukumu hapa,naona BAHARIA aliamka vibaya,au ameshinda melini,ila pia huenda tunaemzodoa ni mtoto mdogo anayesubiri admission mahali
 
Last edited by a moderator:
Tumeununua Ugomvi nawe Ukapotea Jumla Bajabiri.
Nini tatizo?
Au una Multiple?
Au una Kisa nae,kaja ki-New?

hakuna tatizo madame,nilibanwa na vimajukumu hapa,naona BAHARIA aliamka vibaya,au ameshinda melini,ila pia huenda tunaemzodoa ni mtoto mdogo anayesubiri admission mahali
 
Last edited by a moderator:
Afu nishawahi pewa lifti na mkaka mmoja hv,
Nilipokaribia kushuka akapandisha T-shirt yake akanionyesha shanga halafu akaniachia namba za simu akanambia kama kuna mteja nimtafutie.
Aisee mpaka leo sijaelewa anamaanisha Mteja wa nini?
Wa Kununua Shanga au Wa Kumuuzia 0713!!.
Ila King'asti ni kweli si wavaaji wote wa shanga ni wanawake,hata wanaume wanavaa.

nami niliwah sikia kua wapo wanaume wanao wanavaa shanga
 
Last edited by a moderator:
Afu Bajabiri mbona unaongea kwa Upole sana,Me Sipendi bhana.
Changamka bhana,Kushakucha Chalii.
 
Hv inakuwaje mtu analeta Post yake halafu anatokea jitu lingine kama wewe BAHARIAA na unaanza kuikashifu?
Unakera hamna tu wa kukuambia.
Shenz taipu.
Weka Upuuzi wako unaouona wa maana.
Acha dharau.
hapo ndo nnapokukubali makavu live hutafuni neno.
 
Na umri huo bado hujaonaga tu? Sasa wadhani wajisikia kuwaona nikupe details ukawaone ?

hapana mdau usinipipe,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,me nilobhataika kukutana nao ni wanawake wanaovaa shanga si wanaume,,,,na hazizid nne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom