Nimeokota SHANGA Bafuni ASUBUH YA LEO

Hv inakuwaje mtu analeta Post yake halafu anatokea jitu lingine kama wewe BAHARIAA na unaanza kuikashifu?
Unakera hamna tu wa kukuambia.
Shenz taipu.
Weka Upuuzi wako unaouona wa maana.
Acha dharau.

dah hata me nakereka kweli
 
madame b,wazo lako zuri ila wasiwas wangu ni kwamba zinaweza kukaa hapo kwa muda mref bila kupata mtu mana akiziweka waz muhucka anaweza kuona aibu kuzichukua.mi nashauri akuletee wewe uzitumie kwa shemeji
Bajabiri nakushauri,
weka sehemu ya wazi,nadhani mwenyewe akiziona atazichukua hata usiku.
 
madame b,wazo lako zuri ila wasiwas wangu ni kwamba zinaweza kukaa hapo kwa muda mref bila kupata mtu mana akiziweka waz muhucka anaweza kuona aibu kuzichukua.mi nashauri akuletee wewe uzitumie kwa shemeji

pangu pakavu bhana,,,,,ushauri mujarabu huu,madame b atapima hoja zako
 
naomba nijibu kwa niaba ya mleta uzi,huwa ni la WOTE,na halina mlango kwa hyo ukioga unaoga kwa timing.
zirudishe huko huko bafuni...ila hapa najiuliza wewe Bajabiri ni me au ke?,
kama ni me hilo bafu huwa mnatumia na ke?
loh kama ni hivyo nahisi huwa mnaokota vingi zaidi ya shanga
 
Last edited by a moderator:
madame b,wazo lako zuri ila wasiwas wangu ni kwamba zinaweza kukaa hapo kwa muda mref bila kupata mtu mana akiziweka waz muhucka anaweza kuona aibu kuzichukua.mi nashauri akuletee wewe uzitumie kwa shemeji

Me sivaagi shanga.
 
Pole mpwa na hongera kuwa mstaarabu, ziweke mahali pa wazi halafu pita kila Nyumba waambie zilipo Mwenye Nazi atazifuata tu.

UOTE=Bajabiri;4655438]Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za KIUNONI,ila sasa mimi nikaziokota na kuziosha kisha nikazihifadh sehem salama KWANGU,
najiuliza nitumie njia gani sahihi ya kuhakikisha zile shanga nazikabidh kwa mwenyewe ambaye simfaham,je nitangaze au nipite chumba kwa chumba kuulizia mmiliki wa shanga zile?zoez hili nataraj kulifanya jioni au usiku maana ndo ntakua na wasaa[/QUOTE]
 
Hahahahahahahahahahahah
zitundike mlangoni au zirudishe huko huko bafuni uziweke sehemu zinapo onekana mwenye nazo atazichukua.
 
madame b,wazo lako zuri ila wasiwas wangu ni kwamba zinaweza kukaa hapo kwa muda mref bila kupata mtu mana akiziweka waz muhucka anaweza kuona aibu kuzichukua.mi nashauri akuletee wewe uzitumie kwa shemeji

pangu pakavu bhana,,,,,ushauri mujarabu huu,madame b atapima hoja zako......
 
sorry, shanga zikoje, sijawahi ziona? najua wanavaa wadada tuu au na wakaka wamo pia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom