Nimeokota SHANGA Bafuni ASUBUH YA LEO

Nimeokota SHANGA Bafuni ASUBUH YA LEO

hahahahahah mimi kuna siku nilikurupuka nikakuta mama mmoja yuko kwenye mkao wa kulenga. lahaula mambo yote yalikuwa kweupe ila nikamezea moyoniiiiiiiiiiiiiiiii
 
hahahahahahh mimi simooooo kina mention ngapi ngapi vile wakija hapa patakuwa hapatoshi.... ila pia waweza kumtumia madam b kama mshauri mwelekezi
 
mh nyumba za kupanga zina mambo, leo umeokota shanga umeosha umehifadhi, kesho utaokota condom utasuuza utatumia .... mtu mzima na akili zako, utaokotaje kitu chini tena chooni, halafu ni choo cha jumuia??? sipati picha huyu kapita kakojoa pembeni huku mwingine katema mate chini... etc na wewe unadiriki kuinama kuokota!!! duh 'cant imagine... sorry mtoa mada 'm so disappointed..:redface:
 
mbona shemeji ofisini kila cku huwa ananunua na anasema anakuletea wewe?au huwa anazipeleka wapi?so huwa kwny maeneo hayo ya "center bolt"huwa unavaa nn?
bas msaidie ba jabir kuwa mshaur mwelekezi ili zimfikie muhucka kwa wakat asije akaachika
Me sivaagi shanga.
 
ilimlazimu aokote ili kunusuru ndoa ya aliyezidondosha,mana cjui akiulzwa na mumewe kaziacha wap atajibu nn?
mh nyumba za kupanga zina
mambo, leo umeokota shanga umeosha umehifadhi, kesho utaokota condom
utasuuza utatumia .... mtu mzima na akili zako, utaokotaje kitu chini
tena chooni, halafu ni choo cha jumuia??? sipati picha huyu kapita
kakojoa pembeni huku mwingine katema mate chini... etc na wewe unadiriki
kuinama kuokota!!! duh 'cant imagine... sorry mtoa mada 'm so
disappointed..:redface:
 
mbona shemeji ofisini kila cku huwa ananunua na anasema anakuletea wewe?au huwa anazipeleka wapi?so huwa kwny maeneo hayo ya "center bolt"huwa unavaa nn?
bas msaidie ba jabir kuwa mshaur mwelekezi ili zimfikie muhucka kwa wakat asije akaachika

Utakuwa umemfananisha.
 
mh nyumba za kupanga zina mambo, leo umeokota shanga umeosha umehifadhi, [/color=green]kesho utaokota condom utasuuza utatumia[/color] .... mtu mzima na akili zako, utaokotaje kitu chini tena chooni, halafu ni choo cha jumuia??? sipati picha huyu kapita kakojoa pembeni huku mwingine katema mate chini... etc na wewe unadiriki kuinama kuokota!!! duh 'cant imagine... sorry mtoa mada 'm so disappointed..:redface:

hakuna ufanano hapo na kinachojadiliwa mdau,,,,na ukianza kuwaza hivo tutawaza mengi na hutoyafanya,,,,,,,,sijawah sikia mtu ameosha condom ameitumia ingawa ilitumika,ila huwa naona watu wanatumia vijiko ambavyo hawajui akina nani wamevitumia(nyumban na mahotelini)including wewe.
 
nina wasiwas atakuwa kakosa mkopo HESLB ndo mana amefanya displacement ya hasira kwako.mkumbushe hapa ni chit chat
hakuna tatizo
madame,nilibanwa na vimajukumu hapa,naona BAHARIA aliamka vibaya,au
ameshinda melini,ila pia huenda tunaemzodoa ni mtoto mdogo anayesubiri
admission mahali
 
hakuna ufanano hapo na kinachojadiliwa mdau,,,,na ukianza kuwaza hivo tutawaza mengi na hutoyafanya,,,,,,,,sijawah sikia mtu ameosha condom ameitumia ingawa ilitumika,ila huwa naona watu wanatumia vijiko ambavyo hawajui akina nani wamevitumia(nyumban na mahotelini)including wewe.

ni kweli watu huwa tunashare vitu ikiwemo vijiko hata mashuka kwenye hotels na guest houses, lakini kuna vitu si vya kawaida sana, shanga za kiunoni, chupi, condom na vitu vinavyofanana hivyo tena viokotwe 'chooni'! tena choo kinachotumika na wapangaji wengi!!!.... tena inapokuwa shanga zenyewwe hata hujui za nani??? mh mie naheshimu mawazo yako lkn bado msimamo wangu upo palepale Nimehisi kinyaa tu kuokota 'shanga' za mtu usiemjua tena choonii... nooo bado naona haikuw busara sana.. ni mtazamo wangu tu wapendwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom