Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za KIUNONI,ila sasa mimi nikaziokota na kuziosha kisha nikazihifadh sehem salama KWANGU,
najiuliza nitumie njia gani sahihi ya kuhakikisha zile shanga nazikabidh kwa mwenyewe ambaye simfaham,je nitangaze au nipite chumba kwa chumba kuulizia mmiliki wa shanga zile?zoez hili nataraj kulifanya jioni au usiku maana ndo ntakua na wasaa