Nimeokota peni ya ajabu

Mnatuletea style za wizi wa kizamani..mtawapata hao hao maboya wenzenu nyambaf
 


Iyo peni inafugia maruhani na majini
 
rudisha peni yangu haraka sana nimeitafuta jana nilipoiangusha kumbe wewe ndio umeiokota na hayo madini usipoteze hata punje moja maana ndio thamani yenyewe ya peni. Ni pm nimtume mtu aje kuichukua haraka
 
Unatafuta wa kumla kichwa wewe sio bure.. almasi hata kama ni mara yako ya kwanza kuiona utaijua tu huitaj kuuliza mtu... nachokiona unatafta mtu aingie kichwa kichwa umle kitoga
ndio naenda kuchek now
 
Hiyo ni ya sonara yupo mitaa ya India maeneo ya Posta.Sidhani kama ina valu yeyote ni peni ya ofisi tu katika promo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…