Nimeokota hela,je ninunue TV au DVD?

Umepata nauli ya yule shangazi yako! Mrudishe home asijesema na ww wafanana na bundi bure!!nalog off!!

hahahaha,Mungu mjeba yaani unamaanisha kideo kisubiri kwanza ili nimrudishe shangazi uswazi haraka iwezekanavyo? shangazi kasema haendi kokote mpaka pale muda wake utakapokaribia.Nalog off
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom