Nimeokoka nimeacha pombe

We Duniani hakuna mwema watu wana siri za ajabu wewe 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.

View attachment 3604486
Hongera ila ni kama umetoa mzigo kichwani ukauweka begani manake hizo soda hatimaye zitakuharibia figo zako. Ingekuwa bora zaidi ukaacha pia soda halafu tena jikite kunywa juice uliyotengeneza mwenyewe (Home made juice). Hizo juice za viwandani nazo pia ni
 
Wakati wa mfungo uliopita kuna jamaa yangu Alifia usingizini na alikuwa hajawahi kunywa pombe maisha yake yote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…