Nimeokoka nimeacha pombe

Nimeamua kuacha pombe kwa maana sijawahi kuona faida yake yoyote kwa sasa vinywaji vyangu vitakuwa ni maji, soda na juice tu.

View attachment 3604486
Nani alikwambia pombe ni dhambi? Mbona mimi huwa nastua kwanza kabla sijaenda misa na ninafanya hivi ili nikapokee mkate uchanganyikane na pombe vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…