Kweli , na pombe ni gharama lazima upambane ili utii kiu yakoMiaka nakunywa sana. Bia ndio ilikuwa inanipa hasira ha kutafuta hela. Kuna kiakil flan unapata ukiwa high. Lakin ile ya aste aste.
Deal nying sana nasuka nikiwa na bia kichwan na nafanikiwa.
malengo unaweza timiza hata ukiwa mnywaji.
Ww unaweza usinywe pombe. Ukapata na hela na usiweze hata kununua kiwanja had unafika 50 yrs.
Yeah familia yote tunakunywa vizuri sana , tena toka watoto wadogoHaya nenda kanywe sasa, ikiwezekana beba na familia Yako yote muwe mnabugia vizuri
Tena kama mfanyakaz. Hela ya mshahara hautakiwi kugusa kabisa kwenye bia.Kweli , na pombe ni gharama lazima upambane ili utii kiu yako
POmbe sio haramuYeah familia yote tunakunywa vizuri sana , tena toka watoto wadogo
Huu ni utamaduni wa kale tu, sema sasa hivi watu wanaitumia pombe kumaliza stress za maisha ndio tatizoPOmbe sio haramu
KabisaTena kama mfanyakaz. Hela ya mshahara hautakiwi kugusa kabisa kwenye bia.
Fanya hata udalali. Unganisha deals kadhaa upate mgao wako . Ishu ikitokea unajifanya unajua sana ili uwende ww kununua ule cha juu.
Na ndio hela za kuhemea bar ππππ
Huu nao sasa ni uzembe wa mwenyewe muhusika na of course tunao mitaani watu wa hivi sikatai ni sawa na wanywa pombe wanaozeeka hawana hata kiwanja.Deal nying sana nasuka nikiwa na bia kichwan na nafanikiwa.
malengo unaweza timiza hata ukiwa mnywaji.
Ww unaweza usinywe pombe. Ukapata na hela na usiweze hata kununua kiwanja had unafika 50 yrs.
Sasa mkuu hiyo itakuwa ni hasira sasa.Haya nenda kanywe sasa, ikiwezekana beba na familia Yako yote muwe mnabugia vizuri
Hiyo circle yako ndio mbaya na sio pombeHuu nao sasa ni uzembe wa mwenyewe muhusika na of course tunao mitaani watu wa hivi sikatai ni sawa na wanywa pombe wanaozeeka hawana hata kiwanja.
Ila kwa mimi nisiye mnywaji (nikizingatia circle ya jamaa zangu wanywaji) naamini pombe inachelewesha sana baadhi ya vitu kama siyo kuvifelisha kabisa ndiyo maana post yangu ya mwanzo nikasema ukiwa ndani ya kundi hujioni kama unakosea na ni asili yetu binadamu siyo rahisi kuona unachokifanya siyo sahani
Sikatai maana kila mtu madhali mtu mzima anakuwa na njia aliyoichagua so hata walevi wana njia zao walizojichagulia.Hiyo circle yako ndio mbaya na sio pombe
Ongezeni bidii mkuuYeah familia yote tunakunywa vizuri sana , tena toka watoto wadogo
ππππHamna, ni swaga tuSasa mkuu hiyo itakuwa ni hasira sasa.
Ni nnje na biashara zako nafikiri π€Ongezeni bidii mkuu
Cha kushangaza unaweza patana na mlevi kakuzidi uchumi π ndio maana nikasema ni circle yako mkuuSikatai maana kila mtu madhali mtu mzima anakuwa na njia aliyoichagua so hata walevi wana njia zao walizojichagulia.
Hadi maxims zimo ππ₯Quid pro quo! π π₯