Nimeogopa

Nimeogopa

kwa kipindi hicho cha week mbili uwe unavaa nguo za heshima,punguza masihara kabisaa be serious af kwenye mkoba beba silaha ndogo ya kujilinda likitokea la kutokea uwe na kitu cha kujitetea
 
Yaani kuwatukana siwezi, kusifiwa pia sio dhambi, lakini kuna ile....
Eeeeeh Kasie kumbe una usafiri mzuri eeehhh huku anakuangalia kwa jicho la mate kumtoka, hapo lazima ukae vizuri maana anaonesha kabisa akili ishahama juu inashuka chini. Humu maofisini ni majanga matupu

I put my hand up on your hip

When I dip, you dip, we dip

You put your hand up on my hip

When you dip, I dip, we dip

You put yours and I put mine

And we can get down low and roll it 'round





 
Jiepushe nao ikiwezekana mwambie mlinzi wa hapo kazini kwenu kama wapo wawili mmoja awe karibu na wewe, vinginevyo wanaweza kukubaka
 
Kasinde

Hio kazi Umeipata vipi? Mtindo huo huo au? Office haina heshima? Kama unavyo Sema ni utani haya, kama seriously si Una manager wako? Report, Una simu record maongezi yao yafikishe yanako husika, usiogope be a woman. Come on.
 
Last edited by a moderator:
Pole ila hata mimi nimeomba cn hiyo ''kitu" kwa wanawake wawili ila wamenizungusha adi nikakata tamaa....kwa sasa sioni hata km kuna aja ya kula ''mzigo" tena maishani mwangu.
 
Unaogopa nn sasa kwani we bikira? Acha bwana, ukute ushakua na mahusiano kibaaaooo huko siku za nyuma!

Ungekua bikira una haki ya kuogopa, lkn kwa ww mmh huna sababu kbs eti😜
 
Natamani nikuamini lakini nashindwa :A S 13:!!!!
 
Pole ila hata mimi nimeomba cn hiyo ''kitu" kwa wanawake wawili ila wamenizungusha adi nikakata tamaa....kwa sasa sioni hata km kuna aja ya kula ''mzigo" tena maishani mwangu.

Pole Sana muuza bucha
 
Last edited by a moderator:
...acha kuwatamani wababa wa watu...
 
Back
Top Bottom