mdida
JF-Expert Member
- Jul 14, 2011
- 1,607
- 777
Hili ni janga la officin inabidi likemewe kwa nguvu zote, hapa nilipo sina amani na kazi baada ya mmoja wa wafanyakazi wenzangu kulazimisha kudinyana nami nishamgomea afu amekuwa na chuki na mimi kiasi kwamba kuna hatari mbeleni. Na nimeapa asilani siwezi kuvuliwa pichu nae. Sasa ni mwendo wa kunitafutia makosa tu. Ila najitahidi kufanya kazi kwa umakini ili ikosekane sababu.