Nimeoa single mama

Jasili Sana huyo, alilolifanya Mimi ninaweza kufanya ikiwa tu nina watoto wa idadi hiyohiyo, au zaidi na sio Sina hata mmoja halafu nioe aliyezalishwa na wenzangu
 
Poa, ila siku jamaa akizinduka akitaka wakae mahali wajadili namna ya kumtunza mtoto usishangae. Pamoja na kukumbushana mambo ya zamani.
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Ukiona mtu anabagua watoto kisa sio mkojo wake ujue hana akili timamu.
Ukiona mdada au wanandoa wanafadhaika kisa hawajazaa ni wabibafsi....watoto kibao to adopt, what makes you worry?
 
Tulishasema, sasa mtoto wa miaka miwili anaishi bila mama. Huku unategemea kuzaa nae, watoto mtaowafanya bora kuliko mwingine.
Get out here
 
MAPENZI UNAYOYAONA NI KWA LENGO LA UJITOE KWA MTOTO WAKE HADI SENTI YA MWISHO NA ATAKAPOGUNDUA UMEISHIWA UTAJUA KWANINI MADEMU WA HAJI MANARA NI WEUPE NA SIO ALBINO KAMA YEYE
 
Wanaume wa jf wanafiki sana wanaponda masingo maza na utakuta walilelewa na baba walezi hovyo sana. Mtu kama anataka kugongwa sio lazima akampe alozaa nae kwani wanaume wengine wameisha?
 
Utaita maji mma muda c mrefu
 
Mmmh watoto wamezaliwa tumbo moja wasiwe ndugu?
Hiki ndo mimi sikitaki.
Siwezi kuoa single mother coz tayari anauzao wa mwanaume mwingine, yani mtoto nitakayezaa nae mimi ni ndugu wa huyo mwanaume mwingine .
Sipo tayari kuwa na watoto wa wanafungamana na watu wengine kinamna hio.
Na ndo maana hata mimi sijazaa .
 
HAKUNA MWANAMKE ANAEKUBALI KUKAA MBALI NA MTOTO WAKE, UKIONA MWANAMKE KAKUKUBALIA KUKAA MBALI NA MWANAE UJUE YUPO KWAKO KIMASLAI.... IPO SIKU UTALIA TUU HAKIKA USISAHAU KUTULETEA MREJESHO HAPA
 
mvute mtoto kwako alaf mwambie hutaki mawasiliano yake na baba mtoto bila kukushirikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…