Nimeoa single mama

msinishauri juu ya kuishi na kumlea huyo mtoto tafadhali hili ni reply yangu ya mwisho juu ya ushauri wa kuishi na mtoto ambaae so wangu,mtaniwia radhi sana
Sijakushauri uishi na mtoto ila nimekwambia tu jinsi roho yako ilivyo mbaya sana
 
Kijana mbona bado unanafasi ya kuoa mabinti wabichi kabisa kwanini unamuoa huyo single mother tena ana mtoto wa miaka miwili. Vijana wengi wa mijini wabachangamoto sana ya kupata wake ambao hawajazalishwa.
mi kweny suala la kuoa nilipanga nioe mwanamke anajielewa na kujitambua na mwenye akili,mvumilivu wa kila hali yangu na tabia zangu,,hivyo sikuona kwa hao walokuwa hawajazaa nikapata huyu ndo ana sifa zote nazotaka nikaona siwez acha hii bahati.
 
msinishauri juu ya kuishi na kumlea huyo mtoto tafadhali hili ni reply yangu ya mwisho juu ya ushauri wa kuishi na mtoto ambaae so wangu,mtaniwia radhi sana
Sikiq nakuambia ule ukweli mchungu...mwanaume akizalisha mtoto anahitaji mwanamke kama msaada wa kulea mwanae hapo ,hapo mwanaume ukishakuwa na mtoto mapepe yanapungua unakuwa na shauku ya familia.

Ila tambua mwanamke hayuko ivyo kabisa kwanza anahamisha mapenzi kwa mtoto ..ni kwamba kama umeoa single mother tambua hana mapenzi na wewe ni njaa ndo zimempeleka bado ana mapenzi na jamaa na mwanae ...ipo siku noma itakuja sanuka.

Bado kijana utakuja kufa ukiwa mdogo ...wanawake kibao unachukua ambaye jamaa wa kwanza alishamuona kinyaa!! Hana maajabu jamaa akija hapigi Tena sound anaenda fanya yake kimyakimya
 
Nimekuelewa
 
Nimekuelewa

Yeah!

Ila Kwa upande wa Mama ni ndugu wanaoweza ku-share baadhi ya features Kama kufanana kama wanafanana na Mama Yao lakini linapokuja suala la mzizi au asili hawawezi itwa ndugu na hapa tunazungumzia vinasaba(DNA).

Ndio maana hata watoto wako hawezi kwenda kudai Urithi Kwa Baba ambaye amezaa na wewe kwani sio Baba Yao.

Muhimu kuliko yote.
Kama maisha yanaongozwa na Upendo zaidi.
Mtu Kama ameamua kuishi na mtu mwingine msingi Mkuu uwe ni upendo, alafu akili, na kufuata sheria za Asili na za jamii.
 
Ni kweli
 
kama yeye mwenye mtoto pamoja na bibi ake wameridhia mtoto akae kwa bibi ake nyie ni kina nani hadi mseme mama anaumia??
 
Achana nae huyo. Watoto wote uliowazaa wewe ni ndugu, hata kama baba tofauti.

Jidanganye hapo.
Siku ijulikane wewe sio mtoto wa huyo Baba hapo ndio utajua hujui.
Usiishi Kwa kujidanganya au kujifariji hata kama mambo mengine sio uhalisia.

Au kama wewe ni mwanaume subiri Mkeo akuambie mimba aliyoibeba sio yako ndio utaelewa. Vizuri.

Hata kisheria hiyo iko hivyo
 
asante kwa mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…