Duh!!! "tenda wema nenda zako mkuu". nafikiri usemi huu una-apply ktk maisha yako...Kuna mwanamke mmoja nilimpa mimba then tukaachana time nampa mimba alikuwa kamaliza form six so mwaka wa kwanza chuo alisoma akiwa na mimba
Nilihudumia mimba mpaka mtoto akafikisha mwaka mmoja then akapata bwana mwingine alichokifanya aliniambia Yule mtoto sio wangu [emoji23][emoji23][emoji23] na mtoto Nina fanana nae kila kitu akakataa matumizi yangu nikala block pote
Now huyo demu ni lecture mkwawa na mme wake ni engineer TANROAD ndoa yao ina miaka 5 sasa
Mwanangu Sijawai kumuona tena na mm life limenipiga hata mtaani mpaka kutapeliwa na jamaa wa ikulu aliniambia nimpe hela anipeleke MSATA nikawe mwanajeshi [emoji24][emoji24]
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Chukua hii...mtoto hana alijualo...mpende na mke wako na mtoto wake...
NB:akiwasiliana na baba mtoto hata siku moja na ukajua piga chini...usimuhurumie
Mmmh watoto wamezaliwa tumbo moja wasiwe ndugu?Watoto watakaozaliwa sio ndugu zake.
Hata wakipimwa DNA hawawahusiani.
Hoja ya muhimu ni suala la upendo. Na mahusiano Bora lakini kulazimisha watoto wasio ndugu kuitwa ndugu ni Uongo.
Umemkosea sana huyo malaika wa Mungu kumtenganisha na mama yake. Mchukue mtoto alelewe na mama yake ingawa sio damu yako mlee na umpende huwezi jua baadae atakufaa vipi.Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Hongera na mlinde utu wake na hadhi yake. Usije kumsababisha kua mama wa wili bila baba...Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
Mmmh watoto wamezaliwa tumbo moja wasiwe ndugu?
amna,ngoja tu anizalie atampenda mwananguUngefanya vyema sana endapo ungemchukua mtoto wake na kumpenda kwa dhati. Hapo umempenda dada nusu na nusu yake ipo kwa mama yake.ile nusu kwa mama yake inaweza kupendwa na baba mzazi mwishowe inaleta connection kwa mkeo. Ni bora ufanye maamuzi kumpenda na mwanae hutojutia.
Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio nduguHawawezi kuwa Ndugu.
Na kamwe huyo mtoto hawezi kurithi lolote Kwa huyo Baba labda wafanye upendeleo tuu.
Tumbo moja haikufanyi uwe ndugu na mtu. Kumbuka tumbo la mwanamke ni sehemu ya muda ya kumhifadhia mtoto na sio chanzo cha mtoto.
Inaweza chukuliwa mbegu ya mtu yeyote ikawekwa ndani ya tumbo lako na mtoto akakua tuu.
Ndio maana kuna DNA
Kwa hiyo watu walozaliwa tofauti baba sio ndugu
Kwanza nakupongeza kwa maamuzi yako sahihi ya kumuoa binti umpendae, lakini nakushauri huyo mtoto usimuache akakaa mbali na mamake kwa sababu miaka 2 ni mdogo sana bado anahitaji malezi ya mama,pia ukaribu wa huyo mtoto utazidisha penzi lenu kupita kiasi, na usisite kumpa huduma zote za malezi bila kujali elewa huyo ni binaadamu kadiri anavyokua atajenga mahusiano mazuri nawe kama mzazi wake halisi na hatimae anaweza hata kukuhudumia utakapokuwa mzee. Nimesha yashuhudia hayo.Habarini wakuu,
Wiki hii nimeoa single mom, mtoto wake ana miaka 2 tangu azae jamaa alikimbia na hajulikani alipo hadi sasa hakutoa hata mia kwenye malezi ya mtoto, alisaidiwa kulea mtoto na mama yake, mtoto kamuacha kwao na mimi sitaki kuishi na huyo mtoto wake na yeye ashalikubali hilo maana tangu uchumba wetu wa mwaka mmoja, nishamwambiaga sitokaa na mtoto wako.
Ananipenda sana tena ile sana sijawahi kupendwa kama hivi kwa huu umri wangu wa 29 years nimewaacha wengi sana nimeamua yeye kumuoa nimeona hatasumbua kwa chochote maana ni mpole na msikivu sana.
Nimekuja tu humu kuwapa hiyo taarifa na kuja kuona mnaniusia wosia gani, kwa hiyo karibuni kwa maoni ya jinsi ya kuishi nae, na vitu gani nijitahadhari navyo, ushauri wowote pia unaruhusiwa na chochote ulichonacho cha kuniambia hata kiwe kibaya sawa tu karibu sana.
na nishamwambia siku akiwasiliana na ba mtoto wake ndo siku yake ya kiama