Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,723
Mayoo waneee kakaa nae miaka miwili utuletee mrejeshoKutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.
Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa nimemkuta ni 'og' hajawahi guswa. Kamaliza chuo kikuu ana miaka 24.
Hii ni kigezo tosha kuwa jamii inabadilika ama ndiyo bahati nasibu?
Itakua aiseeWale tabia zao za kupenda ushirikiana zipo kwenye damu yaani ni tamaduni zao.
Kutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.
Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa nimemkuta ni 'og' hajawahi guswa. Kamaliza chuo kikuu ana miaka 24.
Hii ni kigezo tosha kuwa jamii inabadilika ama ndiyo bahati nasibu?
Hongera sana mkuuKutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.
Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa nimemkuta ni 'og' hajawahi guswa. Kamaliza chuo kikuu ana miaka 24.
Hii ni kigezo tosha kuwa jamii inabadilika ama ndiyo bahati nasibu?
Hawana shidaKutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.
Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa nimemkuta ni 'og' hajawahi guswa. Kamaliza chuo kikuu ana miaka 24.
Hii ni kigezo tosha kuwa jamii inabadilika ama ndiyo bahati nasibu?
Uwe kila mara unatumia PEP ukitoka kulala nae utakuja kunishukuru baadaeKutokana na misemo kadhaaa na kupitia baadhi ya nyuzi humu ndani, kuhusiana na jamii hiyo sijaamini nilichokutana nacho.
Nimeoa mwanamke mmoja Mrangi, keupe haswa. Kutokana na wanavyosemwa nimemkuta ni 'og' hajawahi guswa. Kamaliza chuo kikuu ana miaka 24.
Hii ni kigezo tosha kuwa jamii inabadilika ama ndiyo bahati nasibu?
Huwezi mtrack mwanamke wewe , akienda dukani kuchuma mboga dakika 5 ni nyingi sana. Kama unataka amani ya moyo wako iwe salama achana na kufatilia mwanamkehahaha mkuu mm nimetrack all communication na nyumb ina CCTV camera ziko hiden